Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
heche ndio anamkaanga vizuri sana mwenyekiti wake aise,Kuanzia Kesho Mikutano ifanyike NCHI Nzima, Kila Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa , Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima, mkihamasisha Wananchi Kua Tayari na WASIKUBALI KAMWE LISSU KUFUNGWA !!.
KAMA KUKINUKISHA HII SASA IWE KWELIKWELI KUKINUKISHA.
Na katika hili, niwalale TEC kua Tayari kuongoza Maandamano kupinga huuu UHUNI wanaopanga Kumfanyia Lissu.
SAFARI YA ABDUL KWA MSEVEN KUMBE ILIKUA NI KWENDA KUTAFUTA ' JIBU LA NAMBA GAN LISSU AKIFUNGWA, BADO NCHI ITAENDELEA KUA NA UTULIVU KAMA ANAVYOMFANYA MSEVEN KWA BESIGYE '.
Sambamba na Hilo , Ni kwa namna gan ,Samia anaweza kuendelea 2030 au kuweka Mtu wake MADARAKANI!!.
Niiombe Kamati Kuu ya CHADEMA, HECHE, ITISHENI MIKUTANO YA DHARURA KUANZIA KESHO.
Na muwaambir Wananchi, mmepa4a Habari za ndani ndani kua wamepanga Kumfunga LISSU, Wananchi wawe Tayari kwa lolote !!.
Kitima si katibu mkuu kivuli wa chadema taifa gentleman, kwani hujui? halafu wote ni wa manyoni wa kabila moja na mtuhumiwa uhainiCarlos The Jackal Kwanini TEC?
Carlos The Jackal Kwanini TEC?
I agree to disagree lakini hili la kuifunganisha CDM na upande fulani wa dini/dhehebu halijakaa sawa kwa ustawi na afya ya chama, na ndio hapa mnapogawa watu na kuraise sintofahamu.Kitima si katibu mkuu kivuli wa chadema taifa gentleman, kwani hujui? halafu wote ni wa manyoni wa kabila moja na mtuhumiwa uhaini
Hawa ndio Pekee ambao wamefanikiwa kutikisa Serikali yoyote inayoonea Wananchi.!!.Carlos The Jackal Kwanini TEC?
Mbona mmepaniki mapema hivi? Lissu si ni Wakili maarufu? Sasa hofu ya nini? Au mmeona akina Mnyika, Golugwa Brenda, Heche utetezi wao ni wa ovyo na haujamsaidia Lissu ndio maana mmeanza kulialia? Lakini mbona tuliishawaambia mapema tu kuwa Lissu ATANYONGWA tu?Kuanzia Kesho Mikutano ifanyike NCHI Nzima, Kila Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa , Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima, mkihamasisha Wananchi Kua Tayari na WASIKUBALI KAMWE LISSU KUFUNGWA !!.
KAMA KUKINUKISHA HII SASA IWE KWELIKWELI KUKINUKISHA.
Na katika hili, niwalale TEC kua Tayari kuongoza Maandamano kupinga huuu UHUNI wanaopanga Kumfanyia Lissu.
Sambamba na Hilo , Ni kwa namna gan ,Samia anaweza kuendelea 2030 au kuweka Mtu wake MADARAKANI!!.
Niiombe Kamati Kuu ya CHADEMA, HECHE, ITISHENI MIKUTANO YA DHARURA KUANZIA KESHO.
Na muwaambir Wananchi, mmepa4a Habari za ndani ndani kua wamepanga Kumfunga LISSU, Wananchi wawe Tayari kwa lolote !!.
Punguza:Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima
ze jackal akiandika unaweza sema kesho nchi inavamiwa 😁Punguza:
mhemko
hali ya kupandwa na hasira au hamu kubwa
papara
bila ya makini; kwa harakaharaka
we umeona structure of uongozi wa kitaifa wa chadema, kuna asie mkristo hata moja?I agree to disagree lakini hili la kuifunganisha CDM na upande fulani wa dini/dhehebu halijakaa sawa kwa ustawi na afya ya chama, na ndio hapa mnapogawa watu na kuraise sintofahamu.
Treason adhabu yake ni moja. Kunyongwa . Short of that ni kuachiwa huru.Kuanzia Kesho Mikutano ifanyike NCHI Nzima, Kila Tawi, Kata, Wilaya, Mkoa , Itisheni Mikutano ya Dharura NCHI nzima, mkihamasisha Wananchi Kua Tayari na WASIKUBALI KAMWE LISSU KUFUNGWA !!.
KAMA KUKINUKISHA HII SASA IWE KWELIKWELI KUKINUKISHA.
Na katika hili, niwalale TEC kua Tayari kuongoza Maandamano kupinga huuu UHUNI wanaopanga Kumfanyia Lissu.
Sambamba na Hilo , Ni kwa namna gan ,Samia anaweza kuendelea 2030 au kuweka Mtu wake MADARAKANI!!.
Niiombe Kamati Kuu ya CHADEMA, HECHE, ITISHENI MIKUTANO YA DHARURA KUANZIA KESHO.
Na muwaambir Wananchi, mmepa4a Habari za ndani ndani kua wamepanga Kumfunga LISSU, Wananchi wawe Tayari kwa lolote !!.
Hiyi naye ni wa ku blockze jackal akiandika unaweza sema kesho nchi inavamiwa 😁
naniHiyi naye ni wa ku block
nani
Mleta madanani
ulitaka iweje gentlemanTreason adhabu yake ni moja. Kunyongwa . Short of that ni kuachiwa huru.