HECHE Una siku 13 za kuamsha Ari na Utayari wa Maandamano NCHI nzima , Kuna uwezekano LISSU akafungwa

Keyboard worriers unachimba mkwara nyuma ya keyboard...
 
Chawa unahamasisha maandamano.
 
Hawa ndio Pekee ambao wamefanikiwa kutikisa Serikali yoyote inayoonea Wananchi.!!.

Najua mtasema mambo ya Udini, ila kama mnafatilia Kauli za WASIRA, ni kua CCM haipo Tayari kuachia NCHI kwa mazungumzo na ngonjera, Wanahitaji Lugha ya Nguvu
Yaani miongozo ya kuendesha CDM ndo hutokea TEC
 
Vyama vya siasa haviwezi kufanya maandamano yakafanikiwa...na wakifanya watafungwa na kunyongwa hata kabla ya hayo maandamano.....maandamano ya wananchi ndo huwa yanafanikiwa na ndio yako halali yale ambayo wananchi mmechoka mnaamua kulianzisha hakuna kushawishiwa...
 
Ndugu zetu Wazenji mnapenda sana kujifari kama mazuzu. Ni hivi, mwamba akitokea mtabanana huko kwenu mlipopatelekeza kuja kuwaibia Watanganyika
 
Mbona mmeanza kupaniki? Si Mnyika, Golugwa, Brenda Rupia na John Heche walitoa ushahidi babkubwa mahakamani? Ahahahahaha!!
 
Kama Lissu akitajwa kuwa na hatia hakuna kufungwa,adhabu ni kunyongwa hadi kufa,lakini nakwambia na nakuhakikishia Lissu hana hatia na anaachiwa huru maana hakuna ushahidi wa uhaini uliopatikana.Ikitokea Hawa majaji wakamhikumu hivyo kwenye rufaa wanakula za uso.Hakuna uhaini pale
 
 
TEC waongoze maandamano?
 
kwa jinsi itakavyokuwa suala la uchaguzi usio huru na haki utazidi kuiweka nchi shimoni lisiporekebishwa. Tatizo liko hapo tu,
 
Vp maandamano ni mikutano uliyohamasisha imeishia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…