Heche: Unakuta kijana wa Chuo Kikuu anajivunia kuwa CCM, eti kisa anahofu ya kukosa ajira

Heche: Unakuta kijana wa Chuo Kikuu anajivunia kuwa CCM, eti kisa anahofu ya kukosa ajira

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akizungumza na Vijana wa CHASO Mkoani Iringa Juni 13, 2026 amesema; "Chuo Kikuu, university, unakuta kijana anajihusisha na CCM and he is proud. Sasa ukimuuliza, it's not bad, sio tatizo kujisoshiaiti na CCM. Lakini anajihusisha na CCM kwa lipi? Kwa elimu? Yaani uwezo wako wa elimu, mtu wa Chuo Kikuu.

Na ndio maana nimesema elimu yetu, yaani kuna mtu unamkuta amesoma unajiuliza 'hivi huyu amesoma kweli?' Kwamba unajisoshiaiti na CCM kwamba, moja, wana sera nzuri? Je, unajihusisha kwamba wana make progress kwa miaka 65 ya nchi yetu? Je, unajihusisha na uko proud nao kwamba wanaweza kubadilisha nchi hii? Wakaitoa hapa ilipo? Je, unajihusisha nao kwamba wanaweza ku-create job? No!"

 
Wao wenye uwezo wa kuitoa nchi hapa ilipo na kuipeleka nchi ya ahadi, wanashindwa nini kuondokana na kukamua wananchi na wanachama wao kwa michango ya kila aina?..
 
Shida CHADEMA na nyie wahuni wengi , juzi tu hapa mlianza kutoboana macho kwa ufisadi wa ndani ya chama
 
Back
Top Bottom