PreGE2025 Heche: Unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
"wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali mbaya uliyokuwa nayo kwenda kwenye hali nzuri zaidi "

John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wanachama wa chama hiko Sengerema, Mkoani Mwanza.
 
View attachment 3331766
Heko Makamu Mwenyekiti, hakika cheo chako unakitendea Haki

TAL siku akitoka atajua kweli alipata makamu.
 
Saa 100 anatishwa sanaa na anaogopa sanaa kuwa Rahisi wa nusu term.....anaua tuuu bila kujali kuna Icc jamaniii namuoneaa hurumaa angekubali apumzike
 
"wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali mbaya uliyokuwa nayo kwenda kwenye hali nzuri zaidi "

John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wanachama wa chama hiko Sengerema, Mkoani Mwanza.
View attachment 3331766
Aisome kaka angu na ndugu yangu comrade.

Ndugu @Thlaatlah
 
"wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali mbaya uliyokuwa nayo kwenda kwenye hali nzuri zaidi "

John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wanachama wa chama hiko Sengerema, Mkoani Mwanza.
View attachment 3331766
aache kutapeli watu anajenga gorofa mwanza, anatembelea magari ya wana ccm, samia hajawahi enda ulaya hata kwenye harusi achilia matibabu, huyu jamaa vipi? arudishe kwanza ile hilux ndo tumwelewe, amekuwa mbunge tarime alipwa laki sita kwa siku hakujenga hata tundu la choo leo eti atawaondolea umasikini, mnyelile. juzi alikuwa geita na wenje rafiki yake abduli
 
mnadanganyana mchana kweupeeeeee
Wewe una comment baada ya kupewa shilingi elfu 7 za kutetea UZANDIKI UPOTOSHAJI UZUSHI NA HILA AMBAZO mmekua mnazifanya kwa kujua na KUWAUMIZA WATANZANIA WAZALENDO WENGI SANA MAELFU KWA MAELFU.
 
"wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali mbaya uliyokuwa nayo kwenda kwenye hali nzuri zaidi "

John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wanachama wa chama hiko Sengerema, Mkoani Mwanza.
View attachment 3331766
Domo kaya huyu
 
vyama vya siasa vya bongo ni UTAPELI mtupu. mpaka leo sijawahi kuzielewa, bora kungekuwa na mgombea huru asiye na chama ingekuwa vyema sana.
 
"wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali mbaya uliyokuwa nayo kwenda kwenye hali nzuri zaidi "

John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wanachama wa chama hiko Sengerema, Mkoani Mwanza.
View attachment 3331766

AAAaaah!
Hebu tazama hizo nyuso za wanaosikiliza yanayosemwa kawao. Soma vizuri uelewe hizo nyuso zinasema nini!

Kama uliwahi kuwa Mwalimu wa Chekechea; wanafunzi darasa la tatu, la tano, lasaba; Sekondari kidato cha kwanza, cha tatu, cha tano au hata cha sita; Mkufunzi wa chuo chochote katika ngazi yoyote; Profesa Mbobezi,..., unapoona nyuso za unaozungumza nao zikionyesha sura hiyo; siku hiyo kazi ya ualimu wako inakuwa ya kuridhisha sana.

Heche amefuzu.
 
"wewe mtu wa Sengerema unaogopa mabadiliko wakati hauna hata chakula cha kula mchana, unaogopa mabadiliko kwa sababu gani?, ili uende mbinguni kiingiio elfu kumi wemgi mtaenda motoni halafu unaogopa mabadiliko kwasababu gani? mabadiliko ni kwa ajili ya vijana na watu maskini kutoka kwenye hali mbaya uliyokuwa nayo kwenda kwenye hali nzuri zaidi "

John Heche - Makamu Mwenyekiti CHADEMA akihutubia wanachama wa chama hiko Sengerema, Mkoani Mwanza.
View attachment 3331766
Wana Sengerema msisahau kuwa Mke wa John Heche ni Mwalimu Mwajiriwa wa Serikali akifundisha Shule ya Sekondari ya Kata. Angelitaka mabadiliko angelimwambia mkewe aanze kwanza!

Akili za kuambiwa!!!!!!
 
Back
Top Bottom