Heche: Viongozi wa mpira ni Wana-CCM, walienda kugombea. Wanatenganishaje mpira na siasa?’

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema Viongozi wa mpira ni Wana-CCM, walienda kugombea. Wanatenganishaje mpira na siasa?’

Hatutaki mpira utumike kisiasa unaenda kuangalia mpira usianze kutuambia mama oye mama mitano pale..."

"Hao viongozi wa mpira hao si wote hawa si walienda kugombea juzi hapa CCM sio?... Alafu sisi tukisema na usiguze mpira kwa sababu utakuwa yeye akiusema sio siasa. Sisi tukiusema ndio unakuwa siasa."

Aache uzumbukuku Yanga na Simba zimekuwepo kabla ya TANU
 
chadema na wao waanzishe timu zao
simba na yanga ni timu za Dar es salaam ni hivi karibuni tu walugaluga wameaanza kuzishobokea
Na wawekezaji wake wana uhuru wa kuwa chama chochote cha siasa
kwa hiyo chadema wakazifufue za lipuli fc na Ushirika Moshi huko mikaoni wazimiliki
 
..wanachofanya Ccm kuingilia timu za mpira sio sawa.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema Viongozi wa mpira ni Wana-CCM, walienda kugombea. Wanatenganishaje mpira na siasa?’

Hatutaki mpira utumike kisiasa unaenda kuangalia mpira usianze kutuambia mama oye mama mitano pale..."

"Hao viongozi wa mpira hao si wote hawa si walienda kugombea juzi hapa CCM sio?... Alafu sisi tukisema na usiguze mpira kwa sababu utakuwa yeye akiusema sio siasa. Sisi tukiusema ndio unakuwa siasa."

Kuna ukweli.
 
chadema na wao waanzishe timu zao
simba na yanga ni timu za Dar es salaam ni hivi karibuni tu walugaluga wameaanza kuzishobokea
Na wawekezaji wake wana uhuru wa kuwa chama chochote cha siasa
kwa hiyo chadema wakazifufue za lipuli fc na Ushirika Moshi huko mikaoni wazimiliki
ephen_ huyu ndiyo yule rafiki yenu anayeitwa Makebo! Sasa nimejua ni kwa nini hili jina mlilihusisha na lile eneo la nyuma ya mwili wa mwanadamu. Hakuna kitu hapa.
 
chadema na wao waanzishe timu zao
simba na yanga ni timu za Dar es salaam ni hivi karibuni tu walugaluga wameaanza kuzishobokea
Na wawekezaji wake wana uhuru wa kuwa chama chochote cha siasa
kwa hiyo chadema wakazifufue za lipuli fc na Ushirika Moshi huko mikaoni wazimiliki
Mapigwa miti akili zenu zimehamia kwenye kupigwa miti
 
Back
Top Bottom