Heche: Wakiiacha CHADEMA kwenye maridhiano watakuwa wameacha robo tatu ya Watanzania

Parabolic

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Posts
2,922
Reaction score
3,252
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema endapo chama hicho hakitashirikishwa kwenye maridhiano, maana yake itakuwa robo tatu ya Watanzania watakuwa hawajashirikishwa.

Akizungumza Agosti 3, 2026, katika kikao na viongozi wa Chadema Wilaya ya Tarime, Heche alisisitiza msimamo wa chama hicho wa kutaka msuluhisho katika maridhiano hayo.

Your browser is not able to display this video.


Your browser is not able to display this video.
 
Sijaelewa cdm kumbe wanataka maridhiano na watu ambao awaaminiki
Nyinyi ndio watu ambao huwa mnabishana bila kuelewa mwenzio anasema nini. Chadema walisema toka awali, wanataka kuwe na taasisi huru inayosimamia maridhia ili ukweli wote usemwe pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…