Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.
"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa nchi ya tatu kwa dhahabu duniani.
Sasa tumekataa hayo mambo halafu kuna watu waliokuwa miongoni mwetu ambao tulikuwa tunazungumza nao lugha moja, leo wanasema eti kusema hivyo ni kosa. Wanataka twende kwenye uchaguzi ambao tumeenda 2019 tumenyang'anywa, tukaenda 2020 tukanyang'anywa, tukaenda 2024 tumenyang'anywa mwaka jana.
Hao watu wameenda kwenye hicho Chama na walikuwa viongozi wa Chama hiki wana miujiza gani tofauti na kutumiwa? Mimi na Lissu tumekataa kutumiwa na CCM. Mnasemaje hapo?
Sasa ipo hivi na hili niwaambie, baada ya Bunge la Ulaya jana kuwakalia kooni kwamba lazima mfanye mabadiliko, Viongozi wa dini mmewasikia wamesema lazima mabadiliko yafanyike, kila sehemu nchi hii Viongozi wa kiislamu, Kikristo na masharika wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Mzee Warioba aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais, Mzee Butiku wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Wanataka kutumia watu waliokuwa miongoni mwetu wawasanitize serikali kwamba sasa wawaambie wanahamia chama fulani ndani ya siku mbili hizi na walikuwa viongozi humu tukashindwa uchaguzi tukiwa nao, leo wanaambiwa mkija huku mtapata viti, huo muujiza wanaupata wapi?"
View attachment 3328108
Njaa mbayaJohn Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.
"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa nchi ya tatu kwa dhahabu duniani.
Sasa tumekataa hayo mambo halafu kuna watu waliokuwa miongoni mwetu ambao tulikuwa tunazungumza nao lugha moja, leo wanasema eti kusema hivyo ni kosa. Wanataka twende kwenye uchaguzi ambao tumeenda 2019 tumenyang'anywa, tukaenda 2020 tukanyang'anywa, tukaenda 2024 tumenyang'anywa mwaka jana.
Hao watu wameenda kwenye hicho Chama na walikuwa viongozi wa Chama hiki wana miujiza gani tofauti na kutumiwa? Mimi na Lissu tumekataa kutumiwa na CCM. Mnasemaje hapo?
Sasa ipo hivi na hili niwaambie, baada ya Bunge la Ulaya jana kuwakalia kooni kwamba lazima mfanye mabadiliko, Viongozi wa dini mmewasikia wamesema lazima mabadiliko yafanyike, kila sehemu nchi hii Viongozi wa kiislamu, Kikristo na masharika wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Mzee Warioba aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais, Mzee Butiku wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Wanataka kutumia watu waliokuwa miongoni mwetu wawasanitize serikali kwamba sasa wawaambie wanahamia chama fulani ndani ya siku mbili hizi na walikuwa viongozi humu tukashindwa uchaguzi tukiwa nao, leo wanaambiwa mkija huku mtapata viti, huo muujiza wanaupata wapi?"
View attachment 3328108
Chama kilikaliwa na wahuni aisee, malalamiko ya mchungaji msigwa yalikua na kitu ndani yake.John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.
"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa nchi ya tatu kwa dhahabu duniani.
Sasa tumekataa hayo mambo halafu kuna watu waliokuwa miongoni mwetu ambao tulikuwa tunazungumza nao lugha moja, leo wanasema eti kusema hivyo ni kosa. Wanataka twende kwenye uchaguzi ambao tumeenda 2019 tumenyang'anywa, tukaenda 2020 tukanyang'anywa, tukaenda 2024 tumenyang'anywa mwaka jana.
Hao watu wameenda kwenye hicho Chama na walikuwa viongozi wa Chama hiki wana miujiza gani tofauti na kutumiwa? Mimi na Lissu tumekataa kutumiwa na CCM. Mnasemaje hapo?
Sasa ipo hivi na hili niwaambie, baada ya Bunge la Ulaya jana kuwakalia kooni kwamba lazima mfanye mabadiliko, Viongozi wa dini mmewasikia wamesema lazima mabadiliko yafanyike, kila sehemu nchi hii Viongozi wa kiislamu, Kikristo na masharika wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Mzee Warioba aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais, Mzee Butiku wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Wanataka kutumia watu waliokuwa miongoni mwetu wawasanitize serikali kwamba sasa wawaambie wanahamia chama fulani ndani ya siku mbili hizi na walikuwa viongozi humu tukashindwa uchaguzi tukiwa nao, leo wanaambiwa mkija huku mtapata viti, huo muujiza wanaupata wapi?"
View attachment 3328108
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.

Hao waliojiondoa CHADEMA wametumia haki yao ya kikatiba.John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.
"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa nchi ya tatu kwa dhahabu duniani.
Sasa tumekataa hayo mambo halafu kuna watu waliokuwa miongoni mwetu ambao tulikuwa tunazungumza nao lugha moja, leo wanasema eti kusema hivyo ni kosa. Wanataka twende kwenye uchaguzi ambao tumeenda 2019 tumenyang'anywa, tukaenda 2020 tukanyang'anywa, tukaenda 2024 tumenyang'anywa mwaka jana.
Hao watu wameenda kwenye hicho Chama na walikuwa viongozi wa Chama hiki wana miujiza gani tofauti na kutumiwa? Mimi na Lissu tumekataa kutumiwa na CCM. Mnasemaje hapo?
Sasa ipo hivi na hili niwaambie, baada ya Bunge la Ulaya jana kuwakalia kooni kwamba lazima mfanye mabadiliko, Viongozi wa dini mmewasikia wamesema lazima mabadiliko yafanyike, kila sehemu nchi hii Viongozi wa kiislamu, Kikristo na masharika wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Mzee Warioba aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais, Mzee Butiku wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Wanataka kutumia watu waliokuwa miongoni mwetu wawasanitize serikali kwamba sasa wawaambie wanahamia chama fulani ndani ya siku mbili hizi na walikuwa viongozi humu tukashindwa uchaguzi tukiwa nao, leo wanaambiwa mkija huku mtapata viti, huo muujiza wanaupata wapi?"
Pia, Soma: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
View attachment 3328108
Hata nyerere aliomba michango kwa watanganyika ambao walikuwa hata mitumba hawanaMimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Ukiwa maskini hutoi sadaka kanisani ?Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Usichoelewa nini apo maana kwa kawaida maskini huwa anaambana na maskini mwenzie ndio maana heche anaomba kwa kile kidogo wagawaneMimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Ni kwa 7bu miongoni mwa Watanganyika masikini ni pa1 na hao CHADEMA. Hii ina maana kwamba CCM pekee ndio matajiri na Waarabu.Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Endeleeni kupiga porojo na mtaishia hivyo hivyo na porojo za tonetone.John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.
"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa nchi ya tatu kwa dhahabu duniani.
Sasa tumekataa hayo mambo halafu kuna watu waliokuwa miongoni mwetu ambao tulikuwa tunazungumza nao lugha moja, leo wanasema eti kusema hivyo ni kosa. Wanataka twende kwenye uchaguzi ambao tumeenda 2019 tumenyang'anywa, tukaenda 2020 tukanyang'anywa, tukaenda 2024 tumenyang'anywa mwaka jana.
Hao watu wameenda kwenye hicho Chama na walikuwa viongozi wa Chama hiki wana miujiza gani tofauti na kutumiwa? Mimi na Lissu tumekataa kutumiwa na CCM. Mnasemaje hapo?
Sasa ipo hivi na hili niwaambie, baada ya Bunge la Ulaya jana kuwakalia kooni kwamba lazima mfanye mabadiliko, Viongozi wa dini mmewasikia wamesema lazima mabadiliko yafanyike, kila sehemu nchi hii Viongozi wa kiislamu, Kikristo na masharika wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Mzee Warioba aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais, Mzee Butiku wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Wanataka kutumia watu waliokuwa miongoni mwetu wawasanitize serikali kwamba sasa wawaambie wanahamia chama fulani ndani ya siku mbili hizi na walikuwa viongozi humu tukashindwa uchaguzi tukiwa nao, leo wanaambiwa mkija huku mtapata viti, huo muujiza wanaupata wapi?"
Pia, Soma: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
View attachment 3328108
Wanaenda kumzulumu chama Mzee Rungwe.G55 wazee wa pesa mbele
Unazungumzia mambo ya mwaka 1955. Sawa. Nakuelewa. Sasa kwanini muwaambie wao ni maskini kwasababu ya CCM, halafu muwaombe michango?Hata nyerere aliomba michango kwa watanganyika ambao walikuwa hata mitumba hawana