PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Usichoelewa nini apo maana kwa kawaida maskini huwa anaambana na maskini mwenzie ndio maana heche anaomba kwa kile kidogo wagawane
Okay. Lakini naomba nikupe taarifa kwamba John Heche anajenga ghorofa hapa Jijini Mwanza. Je, na hao maskini wengine wanajenga maghorofa huko kwao?
Natanguliza shukrani!🙏🙏🙏🙏
 
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Ulisoma elimu bila malipo
Maana wazazi wangu ni maskini lkn walinilipia ada, maskini huwa tunasaidiana.
 
Ni kwa 7bu miongoni mwa Watanganyika masikini ni pa1 na hao CHADEMA. Hii ina maana kwamba CCM pekee ndio matajiri na Waarabu.
Kwa hiyo CHADEMA kuchangiwa kume7bishwa na CCM mkuu.
OK. Kwahiyo tunarudi kwenye Biblia kwamba mwenye nacho (Mfano Heche anayejenga ghorofa hapa Jijini Mwanza) ataongezewa na maskini hata hicho kidogo watanyang'anywa! Hii nimeielewa! Peoplezzzzzz!!!
 
Ulisoma elimu bila malipo
Maana wazazi wangu ni maskini lkn walinilipia ada, maskini huwa tunasaidiana.
Sijakuelewa vizuri, lakini mimi sijasoma elimu bila malipo. Enzi zangu nilifaulu kwa akili zangu O Level nikaenda Kahororo. A Level nikaenda Dakawa High School.
Sasa hivi nina mtoto wangu mkubwa yupo Ardhi University mwaka wa tatu na HANA MKOPO. Namaliza mwenyewe. Mwingine ataingia Chuo Kikuu mwaka huu na HATAKUWA NA MKOPO kwasababu mimi sio mtu wa kulialia. After all ni Mhaya! Ahahahahaha!!!
 
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.

"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa nchi ya tatu kwa dhahabu duniani.

Sasa tumekataa hayo mambo halafu kuna watu waliokuwa miongoni mwetu ambao tulikuwa tunazungumza nao lugha moja, leo wanasema eti kusema hivyo ni kosa. Wanataka twende kwenye uchaguzi ambao tumeenda 2019 tumenyang'anywa, tukaenda 2020 tukanyang'anywa, tukaenda 2024 tumenyang'anywa mwaka jana.

Hao watu wameenda kwenye hicho Chama na walikuwa viongozi wa Chama hiki wana miujiza gani tofauti na kutumiwa? Mimi na Lissu tumekataa kutumiwa na CCM. Mnasemaje hapo?

Sasa ipo hivi na hili niwaambie, baada ya Bunge la Ulaya jana kuwakalia kooni kwamba lazima mfanye mabadiliko, Viongozi wa dini mmewasikia wamesema lazima mabadiliko yafanyike, kila sehemu nchi hii Viongozi wa kiislamu, Kikristo na masharika wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Mzee Warioba aliyekuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Rais, Mzee Butiku wanasema lazima mabadiliko yafanyike. Wanataka kutumia watu waliokuwa miongoni mwetu wawasanitize serikali kwamba sasa wawaambie wanahamia chama fulani ndani ya siku mbili hizi na walikuwa viongozi humu tukashindwa uchaguzi tukiwa nao, leo wanaambiwa mkija huku mtapata viti, huo muujiza wanaupata wapi?"

Pia, Soma: Baadhi ya G-55 wakiwemo Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge na Salum Mwalimu wajiondoa CHADEMA
View attachment 3328108
heche kupanic 🤣
 
Tatizo la Heche i mropikaji. Sasa ni nini hasa maana ya Chadema digital? Kama watu wana kimbia chama? Mabadiliko ya uongozi hayana maana kama baadhi ya wanachama wana kimbia. Mlitakiwa kukaa pamoja na kuvunja tofauti zenu na sio kutuambia ati wana ondoka kwa sababu ya uongozi mpya. Hoja mfu hiyo!!!
 
Unfortunately anasema uongo.
1.Tanzania haimo hata katika nchi tano zenye deposits kubwa za dhahabu duniani. Nchi hizo ni Australia, Russia, South Africa, US na Indonesia. Hizi takwimu anazitoa wapi?
2. Bunge la Ulaya lina mambo mengi sasa hivi. Kutegemea kuwa watatuwekea vikwazo kwa sababu Lissu yuko ndani, kupotea kwa watu n.k. Ni kujidanganya. Ingekuwa rahisi hivyo basi Hungary ingekuwa tayari imetengwa.
3.Wakina Warioba hawawezi kulazimisha serikali kufanya mabadiliko kabla ya uchaguzi. Hakuna. Swali ni kuwa CDM watafanya nini kama hapatakuwa na reforms.
Kusema kuwa wale waliotofautiana nanyi wamenunulia ndio siasa za maji taka. Miaka yote hii wanunuliwe leo? Ili iweje?
Great disappointment.

Amandla...
 
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Nyerere alisaidiwa na masikini tukapata uhuru. Akina Rupia, Kahama, Maleale, Mbowe, Masasi, Mwakingwe walitoaga pesa ingawa siyo nyingi. Hata wazee wa Dar
 
Tatizo la Heche i mropikaji. Sasa ni nini hasa maana ya Chadema digital? Kama watu wana kimbia chama? Mabadiliko ya uongozi hayana maana kama baadhi ya wanachama wana kimbia. Mlitakiwa kukaa pamoja na kuvunja tofauti zenu na sio kutuambia ati wana ondoka kwa sababu ya uongozi mpya. Hoja mfu hiyo!!!
Karopoka nini? Huoni Makalla anabyoropoka? You are blinded by hate you don’t even see your other side
 
heche kupanic 🤣
Abdul, you and your gang are waiting for the destiny, that is hell. That hell ruled by Lucifer , when you ask for water when you are thirsty you are given kerosene to quench your body, and that day is coming! Believe, you have killed and wounded thousands whom you must be accountable.
Not only CCM even those who complied and cheered the suffering of others!

Believe me
 
Tatizo la Heche i mropikaji. Sasa ni nini hasa maana ya Chadema digital? Kama watu wana kimbia chama? Mabadiliko ya uongozi hayana maana kama baadhi ya wanachama wana kimbia. Mlitakiwa kukaa pamoja na kuvunja tofauti zenu na sio kutuambia ati wana ondoka kwa sababu ya uongozi mpya. Hoja mfu hiyo!!!
Sasa kama hiyo ndiyo sababu ya kwel unataka akupe sababu za kubumba? Ndiyo maana kasema acha waondoke tu
 
sasa, wamefukuzwaa au wameondoka wenyewe, heche nyoosha sentensi basi, kuna mtu kasota rumande kule bariadi kama salum mwalimu? yule dada alivunjwa mikono na askari magereza, ruzuku kidogo wanayotafuna imetokana na jasho la hawa, ngoja waondoke atafute zakwake. yeye katishwa kidogo na murilo kakimbilia kyaka

prof.lipumba aliwatukana hivihivi akina jussa, leo sidhani hata hela ya chai anayo!
 
OK. Kwahiyo tunarudi kwenye Biblia kwamba mwenye nacho (Mfano Heche anayejenga ghorofa hapa Jijini Mwanza) ataongezewa na maskini hata hicho kidogo watanyang'anywa! Hii nimeielewa! Peoplezzzzzz!!!
Heche hana mamlaka ya kuuza bandari zetu,Mbuga za wanyama wala hauzi vitalu vya kuchimba makaa ya mawe wala aina yoyote ya madini.
Huyo ukitaka kujua vyanzo vyake vya mapato sogea SILARI pale.
 
Abdul, you and your gang are waiting for the destiny, that is hell. That hell ruled by Lucifer , when you ask for water when you are thirsty you are given kerosene to quench your body, and that day is coming! Believe, you have killed and wounded thousands whom you must be accountable.
Not only CCM even those who complied and cheered the suffering of others!

Believe me
ndugu mpiga ramli mropokaji , relax na story za zako za pata potea na kingereza mingi 🐒
 
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Umaskini ni nini? Hii ni shule pana na kunaweza kusiwe na majibu ya jumla.
World Bank na IMF wanapima umaskini kwa kuzingatia dollar za marekani. Mfano iwapo unaishi chini ya dola moja kwa saa 24, basi wewe ni maskini. dollar moja ni sawa na 2,680/-. Kama unaishi chini ya 2,680 basi wewe ni maskini na kipato chako ni duni sana. Lkn katika kipato hicho, unaweza jinyima 1,000 ukachanga ili kutetea jambo unaloamini likifanikiwa, watoto wako hawataishi kama wewe.
 
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Mbona hujawahi kuuliza kwann hao maikini wanalipa kodi hapa nchini? Mbonq hujawahi kuuliza kwann kule kwa mwamposa wanalipa sadaka
 
Nyerere alisaidiwa na masikini tukapata uhuru. Akina Rupia, Kahama, Maleale, Mbowe, Masasi, Mwakingwe walitoaga pesa ingawa siyo nyingi. Hata wazee wa Dar
Maskini walisaidia kwenye Uhuru kwa kupiga kura na kila Mtanzania anawashukuru sana kwa hilo. Lakini hakuna mahali kwenye historia inaonesha Mwl. Nyerere alikuwa akiwaomba michango ya fedha ili apiganie uhuru. Nipo tayari kuelimishwa.
Kwa matajiri akina Rupia, Al Noor Kassim, The Skykes Family na wengine kutaja wachache ndio walikuwa wanamwezesha Mwalimu financially!
 
Back
Top Bottom