PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Maskini wanao uwezo wa kuchangia tone-tone, kwa kuwa ni wengi ndoo itajaa.

Vv
 
heche akili zimemkaa tenge, sasa hivi anaongelea vijijini, hajawahi kaa ofisini hata saa moja
 
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
Hata TANU ilichangiwa na waliofanywa maskini na wakoloni
 
 
CHADEMA MMESHAFELI PAKUBWA SANA KAJIPANGENI UPYA KWA 2030 MLIJUWA HAMTACHUKUA NCHI MKAONA MKIMBIE
 
Mimi huwa sielewi jambo moja na nahitaji ushauri. Heche anasema Watanzania ni maskini kwasababu ya CCM. Mwishoni anawaomba watu maskini kwasababu ya CCM waichangie pesa Chadema ili iendelee harakati!!!
Naomba mnisaidie. Imekaaje hii?
NONSENSE.
 
Kwa mbinu zilezile wapinzani,hawatatoboa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…