PreGE2025 Heche: Wanatutishia CHADEMA itakufa tusiposhiriki uchaguzi na ife kuliko kuwa chama tunachosimamia uongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Heche amesema hayupo tayari kusimamia uongo, kama wanasema chama kitakufa na kife lakini sio kuendeleze uongo wa CCM!

Safari hii mama anaupiga mwingi mtanyooka! Wanatetemeka huko waliko, mwengo wa kutafuta kiki za kupuuzi kututoa kwenye reli, safari hii mtaisoma namba kama nyimbo yenu inayvyosema!

====

Your browser is not able to display this video.

"Maadili gani hayo tukasaini? wanatutishia kuwa Chadema itakufa isiposhiriki uchaguzi, uchaguzi gani? Chadema itakufa hii? na ife kama tutasimamia jambo la kweli na watu wasijue kama tunasimamia ukweli na ife kama tunasimamia uongo, Kuliko kuwa na chama tunachosimamia uongo, tuko tayari sisi wengine kuacha hizi siasa.

"Kama mnataka mimi Heche na Lissu tusimamie uongo mimi sipo tayari sehemu ambayo na-risk maisha yangu, wakati wote nawindwa! halafu nasimamia uongo ninaoukataa CCM, mimi nina uwezo wa kwenda CCM na nikapata nafasi." -
Heche Makamu Mwenyekiti CHADEMA leo Aprili 12, 2025 Mkoani Mbeya.
 
kwani heche nae anaskilizwa na wananchadema?
 
Sawa kabisa.

Huu ujinga washiriki CCM pekeyao .
Your browser is not able to display this video.
 
CHADEMA ikifa CCM wanapata hasara gani!?
 
Nasimama na viongozi wakuu wa CHADEMA.
 
Kama mnataka mimi Heche na Lissu tusimamie uongo mimi sipo tayari sehemu ambayo na-risk maisha yangu, wakati wote nawindwa! halafu nasimamia uongo ninaoukataa CCM, mimi nina uwezo wa kwenda CCM na nikapata nafasi." - Heche Makamu Mwenyekiti CHADEMA leo Aprili 12, 2025 Mkoani Mbeya.📌🔨
 
Basi na yeye keshaandika uzi halafu home wanajua una afya njema ya akili
 
hawa ndiyo viongozi tuliokuwa yunawataka sasa
hstutski udslsli kwenye siasa, wale wasiopend wana harakati wakati na wao wanafanya harakati wakae waendelee kulima matikiti
NO REFORMS NO ELECTION
 
Mwendo wa kutapatapa tuu saivi... ngapi huko inasoma?
mbona weo?

makhulukhutabu mna matatizo sana aise,
sasa hata heche kweli ni kiongozi wa chama dah?

eti anabwekabweka kabisa
 
Uchaguzi wakafanye wanaosapoti watu kuumizana mie sishiriki kama tume ni hii hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…