Wakuu,
Heche amesema hayupo tayari kusimamia uongo, kama wanasema chama kitakufa na kife lakini sio kuendeleze uongo wa CCM!
Safari hii mama anaupiga mwingi mtanyooka! Wanatetemeka huko waliko, mwengo wa kutafuta kiki za kupuuzi kututoa kwenye reli, safari hii mtaisoma namba kama nyimbo yenu inayvyosema!
====
"Maadili gani hayo tukasaini? wanatutishia kuwa Chadema itakufa isiposhiriki uchaguzi, uchaguzi gani? Chadema itakufa hii? na ife kama tutasimamia jambo la kweli na watu wasijue kama tunasimamia ukweli na ife kama tunasimamia uongo, Kuliko kuwa na chama tunachosimamia uongo, tuko tayari sisi wengine kuacha hizi siasa.
"Kama mnataka mimi Heche na Lissu tusimamie uongo mimi sipo tayari sehemu ambayo na-risk maisha yangu, wakati wote nawindwa! halafu nasimamia uongo ninaoukataa CCM, mimi nina uwezo wa kwenda CCM na nikapata nafasi." - Heche Makamu Mwenyekiti CHADEMA leo Aprili 12, 2025 Mkoani Mbeya.
ππ Nimetangaza kuwasamehe cdm kwa kumpokea Lowassa. Kwa sisi waumini wa ukweli tuliumia sana kwa ujia wa Lowassa ndani ya cdm, maana aliitwa fisadi na viongozi wa cdm, lakini akapewa nafasi ya kugombea urais! Leo hii imepatikana cdm inayoita beleshi ni beleshi, na sio kijiko kikubwa cha kuchotea mchanga.Hiyo ndio misimamo tunayoitaka.
Unajua CCM wanachukulia uchaguzi kama ni tukio la kugawana madaraka na ulaji. Sasa wanaona kila mtu ni wa njaa njaa lazima atataka kushiriki.
Ni kweli, tunataka ife rasmi kuliko kushiriki siasa za kitapeli.Ilishakufa mbona???
Siku alipochaguliwa tundu chadema ilikufa
Heche anafurahia kimoyo moyo mission ya kuia chadomo yeye na Braza K wameifanikisha.Wakuu,
Heche amesema hayupo tayari kusimamia uongo, kama wanasema chama kitakufa na kife lakini sio kuendeleze uongo wa CCM!
Safari hii mama anaupiga mwingi mtanyooka! Wanatetemeka huko waliko, mwengo wa kutafuta kiki za kupuuzi kututoa kwenye reli, safari hii mtaisoma namba kama nyimbo yenu inayvyosema!
====
"Maadili gani hayo tukasaini? wanatutishia kuwa Chadema itakufa isiposhiriki uchaguzi, uchaguzi gani? Chadema itakufa hii? na ife kama tutasimamia jambo la kweli na watu wasijue kama tunasimamia ukweli na ife kama tunasimamia uongo, Kuliko kuwa na chama tunachosimamia uongo, tuko tayari sisi wengine kuacha hizi siasa.
"Kama mnataka mimi Heche na Lissu tusimamie uongo mimi sipo tayari sehemu ambayo na-risk maisha yangu, wakati wote nawindwa! halafu nasimamia uongo ninaoukataa CCM, mimi nina uwezo wa kwenda CCM na nikapata nafasi." - Heche Makamu Mwenyekiti CHADEMA leo Aprili 12, 2025 Mkoani Mbeya.
Ndio inatakiwa kufa kuliko iishi kwenye siasa za kuburuzwa na ccm. Well done cdm kusimamia uamuzi wa vikao halali vya chama.Heche anafurahia kimoyo moyo mission ya kuia chadomo yeye na Braza K wameifanikisha.
Ni kweli, tunataka ife rasmi kuliko kushiriki siasa za kitapeli.
Wajinga tu ndio wanaweza kuendelea kushiriki kwenye chaguzi zinaziiruhusu ccm ipange matokeo. Nyakati za kuburuzwa zimeisha.Siasa ni kwa wanasiasa na sio kwa wapiga deal
Sasa mmelewa
Mambo yamekua magumu
Mmenyoosha mikono juu
Iili iweje?kwani heche nae anaskilizwa na wananchadema?
Wajinga tu ndio wanaweza kuendelea kushiriki kwenye chaguzi zinaziiruhusu ccm ipange matokeo. Nyakati za kuburuzwa zimeisha.
Unasikilizwa wewe, jipige kifua mara tatu na sema "mimi ni mjinga"kwani heche nae anaskilizwa na wananchadema?
Ukielewa nini wanahitaji wala huwezi kuwaona wajinga, sana sana utajiona mjinga ni wewe.Usisahau hao CCM ni kundi watanzania wenye haki kikatiba kuchagua na kuchaguliwa
Wajinga ni chadema waliojipoteza bila kujielewa
Ukielewa nini wanahitaji wala huwezi kuwaona wajinga, sana sana utajiona mjinga ni wewe.
Reference ya uchaguzi wa mwaka jana tu hata ingekuwa wewe upo upinzani usingekubali kuingia kwenye uchaguzi.
Chadema wapo sahihi kabisa.
Sio jwa chaguzi hizo za kishenzi.Usisahau hao CCM ni kundi watanzania wenye haki kikatiba kuchagua na kuchaguliwa
Wajinga ni chadema waliojipoteza bila kujielewa
Mpinzani amenunua kuanzia refa, kamisaa, VAR, linesmen wote. Huyo mpinzani unapambana nae vipi.Wamekua wajinga sababu wameshindwa kutafuta mbinu sahihi kupata wanachokitaka.
Huwezi kutegemea mpinzani wako akusaidie kushinda mechi. Unatakiwa kuwa smart kushinda
Chadema ni wajinga
Aiseeeeee π π πWakuu,