Ni heri kufa na mawazo yanayoishi kuliko kuishi na mawazo yaliyokufa!!.
Ccm wanadhani bado wapo na ndugu yao Mbowe, zama zinabadilika, watu wanabadilika. Tz ilihitaji viongozi wa upinzani wenye roho ya kizalendo na uthubutu sio lelem.
Chadema wako tayari kukabiliana na matokeo yoyote ilimradi wanasema ukweli kuhusu hali ya siasa nchini...."kama Chadema itakufa kwa kusema ukweli acha ife" Heche