Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Sasa mkuu wenye dola / CCM hawataki hayo mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi, vile vile umesema hauungi mkono huo utopia wa no reform, no election unasimamia wapi au ni njia ipi unadhani itafanyika kuhakikisha haki inapatikana?Ni kweli kuna wana CCM wengi tuu ambao ni wazalendo wa kweli wa nchi hii,na mimi nikiwemo ambao tunataka mabadiliko ya haki kwenye katiba na sheria ya uchaguzi,na kutaka CCM ishinde kwa haki, kwenye uwanja sawa wa mchezo, lakini hakuna mwana CCM ,anayeunga mkono huo utopia wa no reform,no election!。
P