PreGE2025 Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio kutimiza ndoto za Watu kuwa Wabunge hata kupitia uchaguzi usio huru na haki.

Akiongea na Wakazi wa Sengerema Mkoani Mwanza leo Mei 12,2025, Heche amesema "No reforms no election ndio msimamo wa nchi, sasa wanaopotoka kuna wakati miongoni mwetu tulikuwa nao kwenye safari hii wameshindwa mapambano, wasitutishe, wanatuambia kwamba eti ndoto zao zinakatishwa kwa sisi kutoenda kwenye uchaguzi wa kuua Watu"

"Hiki Chama hakikuanzishwa kwa ajili ya ndoto ya Mimi Heche kuwa Mbunge, kilianzishwa kwa ndoto ya kuwaletea Watanzania mabadiliko, sio ndoto ya kukufanya uwe Diwani au Mbunge, hiki ni Chama cha ndoto ya Watanzania kurudisha nchi yao kwenye mikono yao"

"Wasiwatishe, msibabaike, safari lazima iendelee"
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio kutimiza ndoto za Watu kuwa Wabunge hata kupitia uchaguzi usio huru na haki.

Akiongea na Wakazi wa Sengerema Mkoani Mwanza leo May 12,2025, Heche amesema “No reforms no election ndio msimamo wa nchi, sasa wanaopotoka kuna wakati miongoni mwetu tulikuwa nao kwenye safari hii wameshindwa mapambano, wasitutishe, wanatuambia kwamba eti ndoto zao zinakatishwa kwa sisi kutoenda kwenye uchaguzi wa kuua Watu”

“Hiki Chama hakikuanzishwa kwa ajili ya ndoto ya Mimi Heche kuwa Mbunge, kilianzishwa kwa ndoto ya kuwaletea Watanzania mabadiliko, sio ndoto ya kukufanya uwe Diwani au Mbunge, hiki ni Chama cha ndoto ya Watanzania kurudisha nchi yao kwenye mikono yao”

“Wasiwatishe, msibabaike, safari lazima iendelee”
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio kutimiza ndoto za Watu kuwa Wabunge hata kupitia uchaguzi usio huru na haki.

Akiongea na Wakazi wa Sengerema Mkoani Mwanza leo Mei 12,2025, Heche amesema "No reforms no election ndio msimamo wa nchi, sasa wanaopotoka kuna wakati miongoni mwetu tulikuwa nao kwenye safari hii wameshindwa mapambano, wasitutishe, wanatuambia kwamba eti ndoto zao zinakatishwa kwa sisi kutoenda kwenye uchaguzi wa kuua Watu"

"Hiki Chama hakikuanzishwa kwa ajili ya ndoto ya Mimi Heche kuwa Mbunge, kilianzishwa kwa ndoto ya kuwaletea Watanzania mabadiliko, sio ndoto ya kukufanya uwe Diwani au Mbunge, hiki ni Chama cha ndoto ya Watanzania kurudisha nchi yao kwenye mikono yao"

"Wasiwatishe, msibabaike, safari lazima iendelee"
safi sana, tupo pamoja

wadudu wote acha wakimbie, dawa ya TAL na Heche ni kiboko
 
chadema ilianzishwa ili kuchangisha pesa kwaajili ya matumizi binafsi ya viongozi wa chadema wasio na ajira na wanao ropoka ropoka right, heche? :NoGodNo:
 
Huu ndio msimamo thabiti wa mtu anayewajali Watanzania, siyo tumbo lake. Hawa HD55, ni watu wa matumbo kwa gharama ya Watanzania. Waondoke haraka sana, CHADEMA siyo chama cha kutunzia matumbo ya watu.
 
HECHE ametoa falsafa kubwa ambayo ndio lengo la chama kwa sasa
wasaliti lazma waondoke, chama kisajiri wapya na kupata viongozi wapya wenye molarii na misimamo ya kweli
 
Ushauri wangu kwa chadema iboreshe mfumo/database ya kidigitali ya wanachama ambayo mtu anaweza kujisajiri mwenyewe kwa njia ya simu
pia ktk mikutano yao kuwepo na watu wakusajiri wanachama kwa hiari
kujiunga na chama iwe bure, kwa sasa kuelekea uchaguzi
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio kutimiza ndoto za Watu kuwa Wabunge hata kupitia uchaguzi usio huru na haki.

Akiongea na Wakazi wa Sengerema Mkoani Mwanza leo Mei 12,2025, Heche amesema "No reforms no election ndio msimamo wa nchi, sasa wanaopotoka kuna wakati miongoni mwetu tulikuwa nao kwenye safari hii wameshindwa mapambano, wasitutishe, wanatuambia kwamba eti ndoto zao zinakatishwa kwa sisi kutoenda kwenye uchaguzi wa kuua Watu"

"Hiki Chama hakikuanzishwa kwa ajili ya ndoto ya Mimi Heche kuwa Mbunge, kilianzishwa kwa ndoto ya kuwaletea Watanzania mabadiliko, sio ndoto ya kukufanya uwe Diwani au Mbunge, hiki ni Chama cha ndoto ya Watanzania kurudisha nchi yao kwenye mikono yao"

"Wasiwatishe, msibabaike, safari lazima iendelee"
CHADEMA haitaki kushika dola
 
chadema ilianzishwa ili kuchangisha pesa kwaajili ya matumizi binafsi ya viongozi wa chadema wasio na ajira na wanao ropoka ropoka right, heche? :NoGodNo:
umechelewa wewe chawa cha mama moto huu wa NoReformsNoElection hamuwezi kuuliza hata kwa kesi feki, utekaji, kupoteza na kuwaua wanaCDM

mjiandae kwa maumivu tu
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio kutimiza ndoto za Watu kuwa Wabunge hata kupitia uchaguzi usio huru na haki.

Akiongea na Wakazi wa Sengerema Mkoani Mwanza leo Mei 12,2025, Heche amesema "No reforms no election ndio msimamo wa nchi, sasa wanaopotoka kuna wakati miongoni mwetu tulikuwa nao kwenye safari hii wameshindwa mapambano, wasitutishe, wanatuambia kwamba eti ndoto zao zinakatishwa kwa sisi kutoenda kwenye uchaguzi wa kuua Watu"

"Hiki Chama hakikuanzishwa kwa ajili ya ndoto ya Mimi Heche kuwa Mbunge, kilianzishwa kwa ndoto ya kuwaletea Watanzania mabadiliko, sio ndoto ya kukufanya uwe Diwani au Mbunge, hiki ni Chama cha ndoto ya Watanzania kurudisha nchi yao kwenye mikono yao"

"Wasiwatishe, msibabaike, safari lazima iendelee"
Hawajamkamata bado
 
Back
Top Bottom