PreGE2025 Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Itakuwa ni habari mbaya sana kwa g-55 na masalia yao kokote walipo.
 
wanataka kushida dola bila kupiga kura
Chadema ni shule ya haki
Ukijua haki ndiyo utawale

Nyerere alizuia uchimbaji wa madini hovyo mpaka watu wapateelimu na kujua thamani ya madini
 
One of the best statement ever. Huyu ndugu anaongea lugha ya kitanzania kwa watanzania wanaojua siasa za sasa zinaelekea wapi . Wale wengine wanaongea siasa za njaa kwa walioshiba . Mwisho wake ni kutoeleweka
 
Heche kaiva, yupo tayari.

Hii sasa ni fursa ya watu wenye nia nzuri na nchii kujitoa mbele wahesabike. Hakuna tena sababu za kujificha vichakani.
Huu ni wakati wa wazalendo wa kweli, wawe ndani ya CHADEMA, CCM, CHAUMA, CUF, ACT na kwingine kote kujitokeza na kuipigania nchi.
Hakuna visingizio tena. CHADEMA wametoa mwanya kwa kila mtu kuonyesha uzalendo kwa nchi yake.
 
wanataka kushida dola bila kupiga kura
Wewe utakuwa huna msaada tena wa jinsi ya kukufundisha kuelewa kinacho tafutwa kwa manufaa ya nchi yetu.
Watu wa aina yako ni kama furushi la mzigo wa takataka anaohangaika nao kichaa.
 
Dah! Sijui kaongea nini hapo!
 
Sure
 
Wewe utakuwa huna msaada tena wa jinsi ya kukufundisha kuelewa kinacho tafutwa kwa manufaa ya nchi yetu.
Watu wa aina yako ni kama furushi la mzigo wa takataka anaohangaika nao kichaa.
Hilo jitu halina akili kabisa
 
Mbuni kutoka Tarime akionyesga ufundi wa kuficha kichwa kwenye mchanga huku mauno yako nje
Wewe ndivyo ulivyo elewa hayo yaliyo andikwa hapo kuhusu aliyosema Heche? Huko Kisiwani unakodai ni kwenu hakuna mtumwenye kufikiri namna hiyo.
 
Chadema ni shule ya haki
Ukijua haki ndiyo utawale

Nyerere alizuia uchimbaji wa madini hovyo mpaka watu wapateelimu na kujua thamani ya madini
sasa hivi tulishapata elimu? hayachimbwi hovyo? nyerere alimpeleka nani kusoma na wapi ili aje atuchimbie madini kiungwana?
 
Kuliko CHADEMA kama chama cha upinzani kitumike kama mhuri wa kuthibitisha mambo ya chama tawala, ni bora kife tu.

Safi sana Heche! Isiwe watu mnajifanya wapinzani, mnadanganya vijana wanapotea kumbe nyie mnafanya biashara.
​
 
sasa hivi tulishapata elimu? hayachimbwi hovyo? nyerere alimpeleka nani kusoma na wapi ili aje atuchimbie madini kiungwana?
Wewe hujui kitu tulia usidandie Sgr kwa mbele!!
 
Hiki Chama hakikuanzishwa kwa ajili ya ndoto ya Mimi Heche kuwa Mbunge, kilianzishwa kwa ndoto ya kuwaletea Watanzania mabadiliko, sio ndoto ya kukufanya uwe Diwani au Mbunge, hiki ni Chama cha ndoto ya Watanzania kurudisha nchi yao kwenye mikono yao"

"Wasiwatishe, msibabaike, safari lazima iendelee"

Heche, MM Chadema
 
Huyo naye ni bwege kweli, utaletaje mabadiliko km siyo kupitia sanduku la kura? Au uhaini? Km ni uhaini atamke wazi ili ajiunge na m/kiti wake. Adanganye hao nyumbu wenzie, hao ni wapumbavu ht hawajui wanafanya nini, mtu umekimbia kushiriki uchaguzi unafanya mikutano so what?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…