Sangamwalogesha
JF-Expert Member
- Mar 10, 2025
- 2,153
- 1,419
UchafuMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio kutimiza ndoto za Watu kuwa Wabunge hata kupitia uchaguzi usio huru na haki.
Akiongea na Wakazi wa Sengerema Mkoani Mwanza leo May 12,2025, Heche amesema “No reforms no election ndio msimamo wa nchi, sasa wanaopotoka kuna wakati miongoni mwetu tulikuwa nao kwenye safari hii wameshindwa mapambano, wasitutishe, wanatuambia kwamba eti ndoto zao zinakatishwa kwa sisi kutoenda kwenye uchaguzi wa kuua Watu”
“Hiki Chama hakikuanzishwa kwa ajili ya ndoto ya Mimi Heche kuwa Mbunge, kilianzishwa kwa ndoto ya kuwaletea Watanzania mabadiliko, sio ndoto ya kukufanya uwe Diwani au Mbunge, hiki ni Chama cha ndoto ya Watanzania kurudisha nchi yao kwenye mikono yao”
“Wasiwatishe, msibabaike, safari lazima iendelee”
Yawezekana Sasa hivi CHADEMA ndio imepata viongozi ambao watanzania watawaelewaMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio kutimiza ndoto za Watu kuwa Wabunge hata kupitia uchaguzi usio huru na haki.
Akiongea na Wakazi wa Sengerema Mkoani Mwanza leo Mei 12,2025, Heche amesema "No reforms no election ndio msimamo wa nchi, sasa wanaopotoka kuna wakati miongoni mwetu tulikuwa nao kwenye safari hii wameshindwa mapambano, wasitutishe, wanatuambia kwamba eti ndoto zao zinakatishwa kwa sisi kutoenda kwenye uchaguzi wa kuua Watu"
"Hiki Chama hakikuanzishwa kwa ajili ya ndoto ya Mimi Heche kuwa Mbunge, kilianzishwa kwa ndoto ya kuwaletea Watanzania mabadiliko, sio ndoto ya kukufanya uwe Diwani au Mbunge, hiki ni Chama cha ndoto ya Watanzania kurudisha nchi yao kwenye mikono yao"
"Wasiwatishe, msibabaike, safari lazima iendelee"
Sasa hao si ni magaidi? Chama gani cha siasa hakina malengo ya kushika dola?CHADEMA haitaki kushika dola
Chama kinaongozwa kwa mihemkoSasa hao si ni magaidi? Chama gani cha siasa hakina malengo ya kushika dola?
Bwege ni wewe asiejua kwamba sanduku la Kura linalosimamiwa na kuamuliwa na mgombea mmoja ni batili. Mapambano yanapaswa kuanza na kutafuta haki then sanduku la Kura...wajinga wajinga kama Nyie ndio mnaidhoofisha nchi yetuHuyo naye ni bwege kweli, utaletaje mabadiliko km siyo kupitia sanduku la kura? Au uhaini? Km ni uhaini atamke wazi ili ajiunge na m/kiti wake. Adanganye hao nyumbu wenzie, hao ni wapumbavu ht hawajui wanafanya nini, mtu umekimbia kushiriki uchaguzi unafanya mikutano so what?
mabadiliko yataletwa kwa kuchangisha bukubuku standi ya katoro? wakati anawaondoa vijana kwenye uchaguzi yeye anajenga gorofa anafadhiliwa kipato, hiyo prado nyeusi anayotembelea hivi mnajua ni ya nani? mbona hatumii ford ranger za chama? hawa watumishi wa chama wanaotupa mafaili mnadhani wajinga?Hiki Chama hakikuanzishwa kwa ajili ya ndoto ya Mimi Heche kuwa Mbunge, kilianzishwa kwa ndoto ya kuwaletea Watanzania mabadiliko, sio ndoto ya kukufanya uwe Diwani au Mbunge, hiki ni Chama cha ndoto ya Watanzania kurudisha nchi yao kwenye mikono yao"
"Wasiwatishe, msibabaike, safari lazima iendelee"
Heche, MM Chadema
Buku lako halitakiwi, na wanaochanga wanamaisha yao na huwasaidii chochote, kaa na buku lakomabadiliko yataletwa kwa kuchangisha bukubuku standi ya katoro? wakati anawaondoa vijana kwenye uchaguzi yeye anajenga gorofa anafadhiliwa kipato, hiyo prado nyeusi anayotembelea hivi mnajua ni ya nani? mbona hatumii ford ranger za chama? hawa watumishi wa chama wanaotupa mafaili mnadhani wajinga?