Kwani hayo maji unayosema tunategemea serikali huwa wanayagawa Bure?NCHI NYINGI DUNIANI WATU HUWA WANAJIONGEZA NA SI KUTEGEMEA SERIKALI. WATU TUJIFUNZE KUANDAA VYANZO VYETU KAMA VISIMA NA KUHIFADHI
Si Tunalipa Dawasa na mda mwigine wanatubambikia bili za ovyo