Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
HEDGES WITCH
Wachawi wa Hedge, au Hedges kwa kifupi, ni Wachawi ambao hufanya uchawi bila kuwa na elimu rasmi katika shule za Kichawi labda kwa lugha rahisi tuseme wachawi wa kienyeji
Kwa sehemu za nje(nchi za mbele au nchi ambazo kuna shule maalumu za uchawi aina hii ya uchawi wa hedges unajumuisha wachawi ambao wamefukuzwa au hawakutaka tu kuingia Chuo Kikuu cha Brakebills (au shule zingine kadhaa za kichawi)
CHUO KIKUU CHA UCHAWI BRAKEBILLS NEWYORK MAREKANI
Wachawi hawa hufanya uchawi wa kujifundisha unaojulikana kama "uchawi wa Hedge".
Kwa wachawi wasiojua, uchawi halisi na maarifa ya kichawi ni ngumu kupata mafundisho na kwa hivyo, hutafuta wajuvi wa uchawi na maeneo ya kujifunzia pamoja na vifaa. Maeneo kama haya yanaweza kuwa ya taswira tu ila yaliyojaa majaribio ambayo sio maalum
Hii inaweza kuwa hatari kwao kwa hivyo Hedges huwa na nyumba (eneo) salama ambapo wanafundisha na kushiriki maarifa ya kichawi
Watafiti wengi wa mambo ya UCHAWI na nguvu za giza wana imani ya kwamba uchawi huu ndiyo UCHAWI usiopedwa zaidi duniani kwasababu ya usumbufu na kero za wachawi hao,
Sababu kubwa inayofanya uchawi huo kuchukiwa sana ni namna ya wachawi hao wanavyotumia uchawi vibaya mno.
Mfano Kutisha tisha watu ovyo, kuwaingilia watu kimapenzi wakiwa usingizini, kuwawangia , Kuua, kugombanisha watu na uchonganishi.
Watafiti wanasema wachawi hawa ndiyo wachawi wapumbavu sana, kuliko jamii zote za wachawii kwasababu wana uwezo wa kufika popote pale duniani kwa mda mchache mno na wakashia kuwanga tu wasiondoke pasi na kitu cha thamani ...wengi wao ni maskini mno
Wanasifika kwa kutisha na wanatisha watu kwelikweli
NADHANI AINA HII YA UCHAWI NDIYI ILIYO KATIKA NCHI ZETU ZA KIAFRIKA.
DaVinci XV