Da Vinci XV
JF-Expert Member
- Dec 7, 2019
- 3,862
- 6,438
- Thread starter
- #61
๐ ๐ ๐ ๐Uwe Cheti cha advanced diploma in witchcrafts
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐Uwe Cheti cha advanced diploma in witchcrafts
Kabisa mkuuBalaaa
Waumini wa ulozi mnasemaje hapa?HEDGES WITCH
View attachment 1686131
Wachawi wa Hedge, au Hedges kwa kifupi, ni Wachawi ambao hufanya uchawi bila kuwa na elimu rasmi katika shule za Kichawi labda kwa lugha rahisi tuseme wachawi wa kienyeji
View attachment 1686095
Kwa sehemu za nje(nchi za mbele au nchi ambazo kuna shule maalumu za uchawi aina hii ya uchawi wa hedges unajumuisha wachawi ambao wamefukuzwa au hawakutaka tu kuingia Chuo Kikuu cha Brakebills (au shule zingine kadhaa za kichawi)
View attachment 1686097
CHUO KIKUU CHA UCHAWI BRAKEBILLS NEWYORK MAREKANI
View attachment 1686098
Wachawi hawa hufanya uchawi wa kujifundisha unaojulikana kama "uchawi wa Hedge".
Kwa wachawi wasiojua, uchawi halisi na maarifa ya kichawi ni ngumu kupata mafundisho na kwa hivyo, hutafuta wajuvi wa uchawi na maeneo ya kujifunzia pamoja na vifaa. Maeneo kama haya yanaweza kuwa ya taswira tu ila yaliyojaa majaribio ambayo sio maalum
View attachment 1686101
Hii inaweza kuwa hatari kwao kwa hivyo Hedges huwa na nyumba (eneo) salama ambapo wanafundisha na kushiriki maarifa ya kichawi
View attachment 1686102
Watafiti wengi wa mambo ya UCHAWI na nguvu za giza wana imani ya kwamba uchawi huu ndiyo UCHAWI usiopedwa zaidi duniani kwasababu ya usumbufu na kero za wachawi hao,
Sababu kubwa inayofanya uchawi huo kuchukiwa sana ni namna ya wachawi hao wanavyotumia uchawi vibaya mno.
Mfano Kutisha tisha watu ovyo, kuwaingilia watu kimapenzi wakiwa usingizini, kuwawangia , Kuua, kugombanisha watu na uchonganishi.
View attachment 1686106
Watafiti wanasema wachawi hawa ndiyo wachawi wapumbavu sana, kuliko jamii zote za wachawii kwasababu wana uwezo wa kufika popote pale duniani kwa mda mchache mno na wakashia kuwanga tu wasiondoke pasi na kitu cha thamani ...wengi wao ni maskini mno
View attachment 1686105
Wanasifika kwa kutisha na wanatisha watu kwelikweli
NADHANI AINA HII YA UCHAWI NDIYI ILIYO KATIKA NCHI ZETU ZA KIAFRIKA.
DaVinci XV
Sasa naelewa kwanini Socrates alisema jambo baya zaidi duniani ni UJINGA. Ujinga hufanya uchawi kuwa mbaya zaidi.HEDGES WITCH

AiseeeNaona kama umejitahid kuudogosha huo uchaw.ingawaje umesema eti uchaw ambao sio wa shule ila umesema wanaweza kupaa kuua kugonbanisha watu.ukiambiwa uelezee sayans ya yote hayo utaweza?
Hayo uliyosema kuwa sio rasmi si madogo ni uchaw mkubwa huo huwez kukaa mail 1500 ukafanya fanya tu hiv huko marekan watu wakafarakana halafu uite ni mdogo.hapana mkubwa huo .kidin uchaw inaaminika ulifundishwa na malaika wawil harut na maruta ambao walikuja kama mtihan kwa watu wakiwaanbia sisi ni mitihani msisome ila watu wakakazana wakasoma elimu hizo ambazo kupitia hizo waliweza kufarakanisha kati ya mume na mke,kutia watu wazimu.
Elimu hio ni pana. Sana tena wala huipat hivyo vyuo sijui maana unapaswa ujue ili uchaw ufanye kaz unapaswa uwe na nini?; unataka kuuagua uwe na sifa gan? Una deal na aina gan ya jambo kabila la mleta shida,saa zake siku zake,mambo ni meng sidhan kama itaeleweka kirahisi
Hahaha hatariSasa naelewa kwanini Socrates alisema jambo baya zaidi duniani ni UJINGA. Ujinga hufanya uchawi kuwa mbaya zaidi.
๐ ๐ ๐ hatari sanaKuna mzee Fulani miaka 2000 mwanzoni tulikuwa tunasaidia fundi ujenzi hapo kwake(kijijini), alivyolewa gongo akaanza tutupigia story za kuwa dada yetu ni mtam Sana maana alimgonga kichawi akiwa usingizini[emoji16].
Na asichukue hata burungutu la fedha akilikuta ndaniHuu uchawi wakindezi sana, mchawi anaweza toka kagera akaenda kumjambia tu mtu yupo Songea.๐๐๐
๐ ๐ walozi wa TzHii ndiyo syllabus ya wachawi wa Tanzania kabisa.
Dawa ndio hivyo hazijulikani kila mtu atakwambia fanya maombi huebda yana nguvu sana.Ni wale wanaopasua ukuta kwa matako kwenye kingo zake. Wanakuchezea wapendavyo hata kukutoa nje. Washenzi sana, wanakulisha nyama za watu waliofukua makaburini. Kesho yake unajikuta umechoka unafikiria ni malaria kumbe ni hao washenzi. Ni kutafuta dawa ya kuwanasa ili wajulikane katika jamii. Kwa taarifa yako mchana ni watu waungwana sana tena Wacha Mungu