HEDGE WITCH: Uchawi usiopendwa zaidi duniani

Naona kama umejitahid kuudogosha huo uchaw.ingawaje umesema eti uchaw ambao sio wa shule ila umesema wanaweza kupaa kuua kugonbanisha watu.ukiambiwa uelezee sayans ya yote hayo utaweza?
Hayo uliyosema kuwa sio rasmi si madogo ni uchaw mkubwa huo huwez kukaa mail 1500 ukafanya fanya tu hiv huko marekan watu wakafarakana halafu uite ni mdogo.hapana mkubwa huo .kidin uchaw inaaminika ulifundishwa na malaika wawil harut na maruta ambao walikuja kama mtihan kwa watu wakiwaanbia sisi ni mitihani msisome ila watu wakakazana wakasoma elimu hizo ambazo kupitia hizo waliweza kufarakanisha kati ya mume na mke,kutia watu wazimu.
Elimu hio ni pana. Sana tena wala huipat hivyo vyuo sijui maana unapaswa ujue ili uchaw ufanye kaz unapaswa uwe na nini?; unataka kuuagua uwe na sifa gan? Una deal na aina gan ya jambo kabila la mleta shida,saa zake siku zake,mambo ni meng sidhan kama itaeleweka kirahisi
 
Waumini wa ulozi mnasemaje hapa?
 
Ni wale wanaopasua ukuta kwa matako kwenye kingo zake. Wanakuchezea wapendavyo hata kukutoa nje. Washenzi sana, wanakulisha nyama za watu waliofukua makaburini. Kesho yake unajikuta umechoka unafikiria ni malaria kumbe ni hao washenzi. Ni kutafuta dawa ya kuwanasa ili wajulikane katika jamii. Kwa taarifa yako mchana ni watu waungwana sana tena Wacha Mungu
 
Huu uchawi wakindezi sana, mchawi anaweza toka kagera akaenda kumjambia tu mtu yupo Songea.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna mzee Fulani miaka 2000 mwanzoni tulikuwa tunasaidia fundi ujenzi hapo kwake(kijijini), alivyolewa gongo akaanza tutupigia story za kuwa dada yetu ni mtam Sana maana alimgonga kichawi akiwa usingizini[emoji16].
 
Sasa naelewa kwanini Socrates alisema jambo baya zaidi duniani ni UJINGA. Ujinga hufanya uchawi kuwa mbaya zaidi.
 
Aiseee
 
Kuna mzee Fulani miaka 2000 mwanzoni tulikuwa tunasaidia fundi ujenzi hapo kwake(kijijini), alivyolewa gongo akaanza tutupigia story za kuwa dada yetu ni mtam Sana maana alimgonga kichawi akiwa usingizini[emoji16].
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…hatari sana
Mzee wa kupiga risasi kabisa huyo
 
Dawa ndio hivyo hazijulikani kila mtu atakwambia fanya maombi huebda yana nguvu sana.
Mshana Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…