Hedhi/Bleeding isiyo ya kawaida, nini chanzo?

Hedhi/Bleeding isiyo ya kawaida, nini chanzo?

DVC

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2019
Posts
219
Reaction score
214
Kuna rafiki yangu wa kike anasumbuliwa sana na kutokwa na damu (period) isiyo ya kawaida!

Kuna mtu kashauri akaonane na (neolife health) msaada jamii

Niliyeandika ni mwanaume! Naombeni msaada jamn!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ana umri gani kutokwa na damu nyingi mara nyingi ni dalili ya early menopause.
 
  • Thanks
Reactions: DVC
Isiyo ya kawaida how???



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom