Hedhi siku ya kumi

Joined
Dec 9, 2018
Posts
66
Reaction score
52
Habari wana JF,Mimi nina girlfriend wangu ameniambia kuwa yupo kwenye period(bleeding ) siku ya kumi sasa mfululizo.

Nauliza hivi hili ni tatizo LA kiafya au ni kawaida kwa baadhi ya wasichana maana navyojua Mimi huwa inatokea siku tano, naombeni majibu maana ananiambia other girls wanaendaga period hadi siku 14.

Ni tatizo la kiafya?
 

Bleeding kwa siku kumi hapana si jambo jema muone daktari mapema iwezekanavyo
Kama haitakua sababu ya kuku keep away


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hilo ni tatizo ila historia yake ikoje katika swala hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…