Northern Eagle
Member
- Dec 9, 2018
- 66
- 52
Habari wana JF,Mimi nina girlfriend wangu ameniambia kuwa yupo kwenye period(bleeding ) siku ya kumi sasa mfululizo.
Nauliza hivi hili ni tatizo LA kiafya au ni kawaida kwa baadhi ya wasichana maana navyojua Mimi huwa inatokea siku tano, naombeni majibu maana ananiambia other girls wanaendaga period hadi siku 14.
Ni tatizo la kiafya?