Habarini wana jamvi!
naombeni kujuzwa ya kuwa kuna uwezekano kwa mwanamke mjamzito kuendelea kupata hedhi? au kwa lugha nyingine wanaita "punguza" na ni nini hatima au dawa yake?
na kuna uwezekano akajifungua mtoto pindi muda utakapofika?
nawasilisha wana JF.