Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Angalia isijeikawa ni mimba iliyoharibika!!Naomba msaaada wenu madaktari wa jf hedhi yangu ni mabonge kwa siku tatu mfululizo.je ni kawaida au ni matatizo kiafya?
Yavunje vunje yawe chengachenga.
Yavunje vunje yawe chengachenga.
Yavunje vunje yawe chengachenga.
Utakuta ni mshenzi fulani aliyezoea kukutana na wanawake wakiwa Ok tu hajui matatizo ya kina mama.una ulazima gani kumjibu kama huna cha kumsaidia?..watu wengine wa ajabu kweli.
hayajakukuta nashukuru kwa ushauri mpendwa.Yavunje vunje yawe chengachenga.
27yearsNi vizuri pia ungetueleza umri wako. Maana kuna magonjwa ambayo ni nadra kutokea ktk umri fulani.
Umeelezea kifupi sana Kanjunju....kwa miaka mingapi sasa unapata hedhi? kuna mabadiliko yoyote? kama yapo ilikuwaje huko mwanzo tofauti na sasa? Ilianza lini? unapata hedhi kwa jumla ya siku ngapi ukijumlisha hizo 3 unazotoa mabonge? unabadilisha pad mara nagpi kwa siku? zilnaloa damu completely? unapata maumivu makali unapopata hedhi?
Ni maswali muhimu kujua ili kukupa ushauri mzuri...
Generally, hedhi si kawaida kuwa na mabonge ya damu. Mara nyingi mabonge ya damu yanaonyesha kuwa unatoa damu nyingi kupita kawaida kwa hedhi. Damu nyingi inajumuisha pia kutoa kwa siku nyingi (zaidi ya siku 5).
Kama utapenda kuwa na 'privacy' (nakushauri hivyo) ukajibu maswali hayo kwa PM fanya hivyo...nitajitahidi kukupa ushauri unaostahiki.
Hivi jamani mnaonaje msio madoctor mkafunga vinywa vyenu kama mabubu. Au mmezoea kuchangia mada hata zisizowahusu? Hii ni doctor Riwa tu anaweza kujibu.
Msionyeshe ujinga wenu kwa watu, ukimya unamaanisha kuliko kuongea ukaonekana pumbavu.
naweza kupata namba zako?
Yavunje vunje yawe chengachenga.
kwa ushauri hasa katika matatizo yanayohitaji 'faragha' ni pm tu...i always check my jf account mara kwa mara.