Mwambie huyo Mke wa huyo Rafiki yako aje hapa tupate kumuuliza Maswali pasipo na hivyo hawezi kupata Dawa samahani.@Triple AHabari za majukum ma thinkes,nina best frend wangu mke wake anatatizo la kutokoma kwa hedhi,anadai tatizo limeanza tangu tarehe 5 mwez huu,hajawah tumia sindano wala dawa za aina yoyote za kuzuia mimba na hajawahi kutoa mimba na hapa alipo hajawahi kupata mtoto. Ameenda hsptal lkn bado tatizo lipo palepale,anaomba msaada wenu waungwana.
najua humu kuna madaktari na wengine wengi wenye uelewa wa haya maswala,tumsaidie huyu shem wangu wangwana.