Hedhi

Hedhi

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
Habari za majukum ma thinkes,nina best frend wangu mke wake anatatizo la kutokoma kwa hedhi,anadai tatizo limeanza tangu tarehe 5 mwez huu,hajawah tumia sindano wala dawa za aina yoyote za kuzuia mimba na hajawahi kutoa mimba na hapa alipo hajawahi kupata mtoto. Ameenda hsptal lkn bado tatizo lipo palepale,anaomba msaada wenu waungwana.
 
najua humu kuna madaktari na wengine wengi wenye uelewa wa haya maswala,tumsaidie huyu shem wangu wangwana.
 
Mwambie huyo Mke wa huyo Rafiki yako aje hapa tupate kumuuliza Maswali pasipo na hivyo hawezi kupata Dawa samahani.@Triple A
 
najua humu kuna madaktari na wengine wengi wenye uelewa wa haya maswala,tumsaidie huyu shem wangu wangwana.

Ni vyema akaenda hospital akaweza kuangaliwa hii ni pamoja na speculum examination
 
fuata ushauri wa mzizi mkavu maana hata tukikuuliza maswali wewe ni vigumu kupata majibu. ila hapo kuna factors nyingi
 
Back
Top Bottom