Hee Kumbe Hii Ndio Maana ya PT kwenye Gari za Geshi!!!!!

dala dala

Senior Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
107
Reaction score
109
Duuh amini usiamini gari za geshi la polisiii zina namba PT kuna jamaa kasema maana yake ni PIGA TU (PT) hivi ni kweli?? :flame::llama:Mie simo nimesikia tu mtaani, kazi kwenu wanaJF
 
Labda pinda ndo alitoa hicho kirefu chake
 
Mwachen pinda jaman loooh!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Duuh amini usiamini gari za geshi la polisiii zina namba PT kuna jamaa kasema maana yake ni PIGA TU (PT) hivi ni kweli?? :flame::llama:Mie simo nimesikia tu mtaani, kazi kwenu wanaJF

Lol........
 
Mi nimeambiwa maana yake ni PIGA TENA
 
acha kuzingua ni police tanzania
 
Duuh amini usiamini gari za geshi la polisiii zina namba PT kuna jamaa kasema maana yake ni PIGA TU (PT) hivi ni kweli?? :flame::llama:Mie simo nimesikia tu mtaani, kazi kwenu wanaJF

Inawezekana ikawa hivyo maana mmm !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…