Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekaribia.Nimekalibia mkuu
Haya.Aya santeeee
Thankyuhh?? Shule hazijafunguliwa bado?Thankyuhh najaa
Hahaha me in ke ndio nataka vyoteAiseeee toa maelezo ya kutosha we ni ke...? Unataka dudu, mpenzi au mchumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamekuchoka huko fesibuku ukaamua kukimbilia huku?Single and searching
Tumia lugha ya staha siyo lugha ya kwenye vijiwe na Ghetto sawa?Bado bhanaaa ndomana tupo humu ewe mkamilifu....
Gudume katoa uzi jana eti kaoa lakini bado haishi kukandia watu humu ndani. Yawezekana ndo yeye kaachika jana.
Hapana mkuu hahaha yule bwana anauandishi wake spesheli