Huyo kapandikizwa. Hata mtoto wa form 2 anajua majina na location za vyuo itakua huyo mtu mzima ?jamaa alisha msoma mkuu wetu kwamba ukimwambia kitu anatoa maamuzi hapo hapo
akajaribu bahati yake kulopoka kasoma ili apatiwe ajira kwa tamko tu la mkuu.
hapa mkuu akambana kdg jamaa akashindwa pa kutokea. usimwite msomi huyo sema msomi feki msomi gani hujui hata chuo ulicho somea na kiko wapi
Inaelekea umekaa sana Tz, Kama sio Mtanzania unaejivika koti la kikenyaDuh! Hawa ndugu zetu, jamaa anasema kasomea engineering Dodoma, Sokoine tena anamwambia rais wa nchi.
ExposeKuumbua ni kufanya nini kaka??
Nadhani huyu ni msomi wa kiwango cha juu kabisa kuwahi kutokea hapa duniani. GPA ya 32 ni kubwa sana