Hehehe Magufuli aumbua engineer Mtanzania - ukajanja full

jamaa alisha msoma mkuu wetu kwamba ukimwambia kitu anatoa maamuzi hapo hapo

akajaribu bahati yake kulopoka kasoma ili apatiwe ajira kwa tamko tu la mkuu.

hapa mkuu akambana kdg jamaa akashindwa pa kutokea. usimwite msomi huyo sema msomi feki msomi gani hujui hata chuo ulicho somea na kiko wapi
 
Huyo kapandikizwa. Hata mtoto wa form 2 anajua majina na location za vyuo itakua huyo mtu mzima ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani huyu ni msomi wa kiwango cha juu kabisa kuwahi kutokea hapa duniani. GPA ya 32 ni kubwa sana
 
Back
Top Bottom