Hehehe, Total has officially suspended all activities of Uganda-Tabzania oil pipeline until further notice.

Hehehe, Total has officially suspended all activities of Uganda-Tabzania oil pipeline until further notice.

ni swala la muda tu watarudi muda si mrefu!
 
Ujenzi wa bomba la kusafirishia mafuta kutoka Uganda mpaka bandari ya Tanga Tanzania umesitishwa.

Hatua hiyo, kwa mujibu wa mashirika ya habari ya kimataifa ya Reuters na Bloomberg ni kufuatia kampuni ya uchimbaji mafuta ya Tullow kushindwa kuwauzia kampuni za Total ya Ufaransa na CNOOC ya Uchina vitalu vya mafuta wiki iliyopita.

Kampuni ya Total ndiyo inasimamia ujenzi wa bomba hilo lenye urefu wa kilomita 1,445.

Tayari hatua za awali kuelekea ujenzi huo kama ramani, baadhi ya kandarasi na utanuzi wa bandari ya Tanga Tanzania zilishaanza.

"Shughuli zote za ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (East African Crude Oil Pipeline) ikiwemo kandarasi zimesitishwa mpaka hapo taarifa mpya itakapotolewa kutokana na kushindikana kwa mauzo ya visima," afisaa mmoja nchini Uganda ameiambia Reuters kwa sharti la kutotajwa jina.

Makubaliano ya uuzwaji wa vitalu hivyo yalivunjika Agosti 29 kutokana na mzozo wa kodi na mamlaka za Uganda.

"Kuvunjika kwa makubaliano ya mauzo kunaleta suitafahamu juu ya nani atagharamikia kitu gani katika kuendeleza mradi huo, ambao ungekuwa na mfumo sawia wa umiliki kama ule wa vitalu vya mafuta," kwa mujibu wa afisa huyo.

rAMANI
Image captionKampuni ya Total ndiyo inasimamia ujenzi wa bomba hilo lenye urefu wa kilomita 1,445.
Uganda iligundua mafuta ghafi miaka 13 iliyopita, lakini uchimbaji wa kibiashara ulicheleweshwa kutokana na kutokuwepo kwa miundombinu, ikiwemo bomba la mafuta.

Mradi wa ujenzi wa bomba hilo ulipangiwa kugharimu dola bilioni 2.5, kutoka Hoima. magharibi mwa Uganda mpaka bahari ya Hindi, Bandari ya Tanga Kaskazini mwa Tanzania.
 
Oooh Poor boy, we are not comparing the oils in Kenya with that in Uganda. What we are doing in this thread is discussing about the collapsed construction of pipeline from Ug to Tanga.[emoji23]
Hiyo collapse si imesababishwa na wenyewe sponsors, au.
 
Ficha upumbavu wako unaaibisha Watanzania wenzako waliosoma na kuhitimu. Wewe nitakulipia karo ya gumbaru kwani JF naona haiboreshi uelewa wako wala kukupa utashi wa kuelewa lugha hii ya kiingereza.
Mnajionaga miungu watu na kiingereza chenu, tunawaonaga mafara tu.
 
Geza Ulole where are you? Your presence is needed here urgently [emoji23][emoji23]
Kinachokuchekesha nini sasa we kenge?
Kuna mamia ya raia hapo watakosa kazi na familia zao kutetereka kimaisha.
Unacheka.
Mijitu mingine mifala sana
 
Museveni in sought after Solidarity with JPM pipeline is here to stay
 
mbwembwe za mitanzania mijinga zi wapi kwa sasa? manake ulimbukeni na ujuha wenu umeshafika kikomo,huu bila shaka ni msumari moto ndani ya donda sugu!
 
The thing is nobody wants to fund this thing hata kama itaingiza hela.
I think wanapata pressure sana kutoka mataifa ya nje, could be yanayochimba crude oil pia coz tutakua direct competitors kama hili lingekamilika. Hiyo environmental impact assessment yaweza kua true, kusema the emission will be higher kuliko the current combined emission of Tz and Ug isn't something new, its obvious because this is the biggest project ever done.

Sipendi kuona tunaendelea kucontribute to environment problems ila they are doing it, hakuna sababu ya kuzuia nchi nyingine kutokupata profit simply by doing the exact same thing wanachofanya wao, ingekua wamestop au wanaonyesha juhudi za kupunguza maybe. Hii ni moja ya sehemu ambazo hua naungana na jiwe, kua aggressive kutokusikiliza wengine wanachosema na kuhakikisha project inaisha. Tanzania umeme mbaya mno, infrastructure mbaya, kama kuna kitu chenye kuweza kuleta hela na kufix hili, I think its worth it.
 
Nonsense
 
See how stupid you are. Do you think Museveni will do that? Tag me if that URA manager is sacked.
Under Magufuli pipeline will be built Museveni trust Magufuli than any other President in EA!
 
Back
Top Bottom