kwana katuabisha mno.Hii nimeipata imefunguliwa uzi kwenye jukwaa la Watanzania, wanatupiana vijembe huko ila nimeona busara kuileta kwa Wakenya, sijui panic gani imewaingia wadau wa chama chao kile hadi wameamua kujishusha kiasi hiki.
Labda inahusiana na kwamba uchaguzi wao umesalia mwaka mmoja.
Uzi wenyewe huu huku Picha SGR zawaumbua CCM na Makada wao - JamiiForums
View attachment 1001006
Hahaha yani ujanizidiMm jana Mwigulu aliniharibia siku
nibora angechukua SGR ya Ethiopia walau kidogo
kuliko huo Uchafu hovyo kabisa
karne hii mtu unatumia ghalama kubwa unaleta mitungi eti Treni
Inakera sana
Afu eti kuna mijitu inadhani tumejivunia picha hizo
Hahaha sema kuna watz wanachonga sana man hadi unataman uwagonge vibokoAfu eti kuna mijitu inadhani tumejivunia picha hizo
wakati tumeona katu dharilisha sana kutufananisha na Gari moshi sio karne ya 21
Da! Mwigulu Mungu anakuona
Hawa Ni Vibendera tuna kula nao sahani mojaHahaha sema kuna watz wanachonga sana man hadi unataman uwagonge viboko
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaTusamehe bure, hayo ni madhara ya jiwe, hata sisi wenyewe tunashangaa jinsi jiwe linavyobiringika
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu eti kuna mijitu inadhani tumejivunia picha hizo
wakati tumeona katu dharilisha sana kutufananisha na Gari moshi sio karne ya 21
Da! Mwigulu Mungu anakuona
Hata hizo picha bado zinaboa 3 si za TanzaniaTumeshatoa karipio kali kuuhakikishia umma na duniani kote kwamba huu uchafu sio mali yetu.
Duh mi sijaelewa hapa unatetea au unapinga?!Hasa kilicho wafanya mshoboke nini
SGR haijengwi Tanzania!!
Mliwahi sema Daraja la Kigamboni ni Lenu kenya
kwani mbona haijawa nshu
Nilikuwa wakwanza kumuambia Mwigulu hiyo sio Tanzania
SGR Tanzania ni nzuri kuliko huo Uozo mtupu
SGR ya Tanzania ina nguzo za Umeme
Ulipo ishia ndio napo anziaDuh mi sijaelewa hapa unatetea au unapinga?!
Ndio hivyo sababu hizi ndio pictures alizorusha Mwigulu na TRC wamezikanusha hapo hapo kwa kuzionesha na kuzikana.Hata hizo picha bado zinaboa 3 si za Tanzania
waache ujinga
Hii nimeipata imefunguliwa uzi kwenye jukwaa la Watanzania, wanatupiana vijembe huko ila nimeona busara kuileta kwa Wakenya, sijui panic gani imewaingia wadau wa chama chao kile hadi wameamua kujishusha kiasi hiki.
Labda inahusiana na kwamba uchaguzi wao umesalia mwaka mmoja.
Uzi wenyewe huu huku Picha SGR zawaumbua CCM na Makada wao - JamiiForums
View attachment 1001006
Hicho alichofanya kinaonyesha akili zenu buku7 zilivyo, huwa mnamtungi wa kupika majungu na uongo!Kuna picha zakujivunia si
hizo picha ni uharo na ushenzi mtupu
Sijui naye kanywa Tongwa la wapi kaniboa
unkosa chakuchukua ukachukue SGR ya kijinga jinga hovyo kabisa
SGR zetu ni Bora mara 100 kuliko upumbavu huo
mwigulu wacha Dharau Usifananisha SGR ya Tanzania na ujinga Umeboa
Kilaza wa headHicho alichofanya kinaonyesha akili zenu buku7 zilivyo, huwa mnamtungi wa kupika majungu na uongo!
Umesahau ule uongo mliopika mara sijui magfool kawa raisi bora wa kwanza afurika?
Sent using Vertu Signature Cobra
Ndi hao walio kufanya ujue hata kujitawazaJirani kuna Mamburula wengi sana ndani ya ccm na Serkali na huu ni mfano tosha kabisa wa hao mburulas.
Hapo safiNdio hivyo sababu hizi ndio pictures alizorusha Mwigulu na TRC wamezikanusha hapo hapo kwa kuzionesha na kuzikana.
...unajingine zaidi ya hilo wee kifamba? Maana umeshindwa kujibu hoja unaanza matusi!Kilaza wa head
Asa Kuna hoja mpuuzi anaweza jibiwa...unajingine zaidi ya hilo wee kifamba? Maana umeshindwa kujibu hoja unaanza matusi!
Sent using Vertu Signature Cobra
Takataka hii..[emoji706]Asa Kuna hoja mpuuzi anaweza jibiwa
uliyo Yaropoka hapo awali ni hoja!!
Unafuata mkumbo huna lolote
Nimesema Picha za Mwigulu hazija tufurahisha maana katushusha sana SGR ya kenya ni utumbo sio yakujivunia na Tumepinga vikali
niheri angefananisha na Ethiopia walau kidogo kenya Hakuna kitu
sasa chakufanya mshoboke nikitu gani!!
Mbona wakenya walisema Daraja la Kigamboni nilao nahaikuwa nshu kuubwa