Janken jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,125
- 1,180
kwana katuabisha mno.Hii nimeipata imefunguliwa uzi kwenye jukwaa la Watanzania, wanatupiana vijembe huko ila nimeona busara kuileta kwa Wakenya, sijui panic gani imewaingia wadau wa chama chao kile hadi wameamua kujishusha kiasi hiki.
Labda inahusiana na kwamba uchaguzi wao umesalia mwaka mmoja.
Uzi wenyewe huu huku Picha SGR zawaumbua CCM na Makada wao - JamiiForums
View attachment 1001006