Hehehe Wabongo kuweni na hofu ya Mungu, mbona mtumie picha zetu kusifia SGR yenu

Hehehe Wabongo kuweni na hofu ya Mungu, mbona mtumie picha zetu kusifia SGR yenu

Takataka hii..[emoji706]

Sent using Vertu Signature Cobra
Lazima utasema hivyo Sababu ww ni Kibendera sana
Hii haikuwa nshu kwetu leo nyie Vibendera fuata upepo mlivyl Vilaza mlio ishiwa hoja zamaana mmeshoboka Vimbele mbele kama vifaranga vya Kanga
Hii Inakuwaje[emoji107][emoji107]
(2).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima utasema hivyo Sababu ww ni Kibendera sana
Hii haikuwa nshu kwetu leo nyie Vibendera fuata upepo mlivyl Vilaza mlio ishiwa hoja zamaana mmeshoboka Vimbele mbele kama vifaranga vya Kanga
Hii Inakuwaje[emoji107][emoji107]View attachment 1001404

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Bwana mdogo, naona unatafuta ligi usiyoiweza! Hebu rudia huo uharo ulioandika uone ni nani kilaza...!!
Ungeandika basi angalao ukiwa umetulia, au ulikuwa unakimbilia chooni kuharisha huu uvundo ulioandika?

Sent using Vertu Signature Cobra
 
Wewe Bwana mdogo, naona unatafuta ligi usiyoiweza! Hebu rudia huo uharo ulioandika uone ni nani kilaza...!!
Ungeandika basi angalao ukiwa umetulia, au ulikuwa unakimbilia chooni kuharisha huu uvundo ulioandika?

Sent using Vertu Signature Cobra
Neno "Angalao" lina maana gani
hebu tuanzie hapo
 
Labda nikuambie Huna ubavu wakuweka Ligi na mie
Nakupa pole
 
Neno "Angalao" lina maana gani
hebu tuanzie hapo
Wewe ni wa kupuuzwa tu...!
Sina haja ya kuwa na ligi na wewe kwenye huu uzi!
Kama unataka ligi na majibu ya hilo unalouliza, kaanzishe uzi wa ligi unitag nije ni kunyooshe!
Nimeona wewe ni mweupe kabisa kichwani, zezeta tu!
Kwa hapa sitokujibu tena, uharo wako wowote utakaoandika...!

Basi umejiongeza ndio maana Nikakuambia huna uwezo wakuweka ligi namie never
Ukitaka majibu yakipumbavu tutaenda hivyo
Kabla hujamkosoa mwenzie anza kujikosoa
ulipoona Kosa la uandishi langu ukaona umepata Hoja kumbe Ulipo nisawa na kuruka Sarakasi umevaa taulo kilaza mkubwa tembea mbele
 
Lazima utasema hivyo Sababu ww ni Kibendera sana
Hii haikuwa nshu kwetu leo nyie Vibendera fuata upepo mlivyl Vilaza mlio ishiwa hoja zamaana mmeshoboka Vimbele mbele kama vifaranga vya Kanga
Hii Inakuwaje[emoji107][emoji107]View attachment 1001404

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa ulivyo mpumbavu fahamu haviendani, hii hapa uliyoleta ni picha ya jamaa anatania kwa kusema daraja lipo kwao kijijini Kenya.
Lakini kwa aliyekua waziri tena mbunge na mwanasiasa mashuhuri wa CCM kujisifia SGR kwa kutumia picha zetu inaonyesha jinsi gani mnapanic uchaguzi ukikaribia, mlifikiria SGR ni kazi rahisi inayoweza kufanywa na wapenda mdebwedo na wapaka poda wa Dar.
 
Basi umejiongeza ndio maana Nikakuambia huna uwezo wakuweka ligi namie never
Ukitaka majibu yakipumbavu tutaenda hivyo
Kabla hujamkosoa mwenzie anza kujikosoa
ulipoona Kosa la uandishi langu ukaona umepata Hoja kumbe Ulipo nisawa na kuruka Sarakasi umevaa taulo kilaza mkubwa tembea mbele
CCm hawa wezi jenga SGR WAP wanacopy picha za Kenya tu @ Tanzania bado tuko nyuma kwasababu ya mdudu CCM
 
Tena huyu ni mtanzania wa tatu nimeshuhudia akijimilikisha reli ya Kenya.
Ukweli usemwe, hawa watu bali na kuiponda SGR ya Kenya wanaimezea mate. Mturuki anawajengea low quality rail japo wengi hawalifahamu hili.Itawagharimu sana ku~maintain. Endeleeni kuringa na reli ya umeme na bullet trains zilizo kwa picha lakini muache kuponda vya wenyewe na ndivyo hivi mnavitumia kuwahadaa wananchi.
 
Ah mama la mama naona wamekukausha uzazi now,imebidi uzungumze sasa.

Huyo mbunge hapishani na binaadamu wengine wazembe,wasiofanya utafiti kabla ya kupost taarifa yoyote.
Sisi kama watz tukutoe wasi wasi na hasira zilizokujaa,kwamba hatuoni wivu wala hatuwezi kujivunia SGR ya kenya,sababu tuna ya kwetu iliyo bora na ya kuvutia zaidi.

Tumesikitishwa sana na upotofu huu wa mbunge tofauti na wengi mnaodhani tumejivunia.
 
Aaah mokorino, Mimi hata sijagadhabishwa na kitendo hiki. Kama nilivyosema hapo juu hii ni mara ya tatu kuona jambo hili.Nimetoa maoni yangu tu na kuwakemea nyie mnayodhalilisha reli ya Kenya halafu mnaiposti mitandaoni mkisemani yenu. Ni vibaya mno

I think mokorino is your nunu,right!!!

Reli ya kenya si mbaya ila haiendani na tecnologia ya sasa,kupostiwa na mbunge wa tz na mtz mwingine yeyote,haina maana kwamba imeboreka,ni uzembe wake tu wa kutofuatilia mambo.
 
Wakenya mtusamehe tu sio sisi bali ni jiwe na vibaraka wake wanatafuta uungwaji mkono kwa wananchi kwa kutumia picha za vitega uchumi vya Kenya

Jirani yenu jiwe anatamani SGR ya Kenya ingefaa kukodi aje atafute nayo kick
 
SGR yenu au ni ya MCHINA ? hiyo sio yenu bali ni investment ya mchina ktk koloni lake jipya haya kusanyeni kusanyeni shekeli mupeleke Hong Kong Upesi Upesi kabla hawaja fikiria kuichukua JKIA maana mmeona kilich watokea ndugu zetu wa zambia ? SGR ya TZ inaatengenezwa na PESA yetu walipa kodi sisi
Hii nimeipata imefunguliwa uzi kwenye jukwaa la Watanzania, wanatupiana vijembe huko ila nimeona busara kuileta kwa Wakenya, sijui panic gani imewaingia wadau wa chama chao kile hadi wameamua kujishusha kiasi hiki.
Labda inahusiana na kwamba uchaguzi wao umesalia mwaka mmoja.

Uzi wenyewe huu huku Picha SGR zawaumbua CCM na Makada wao - JamiiForums

View attachment 1001006[
 
Tena hawachukui bandari? Ni JKIA sasa? Mbongo huwazia mkenya mabaya kila siku
sasa nikuwazie mabaya vp jaman jirani yangu mpendwaaaaa, mi nimekupa tu vi angalizo maana niliyoyasikia kwa Zambia yanaumiza ss nikahofu endapo mchina akiichukua JKIA itakuwaje jaman na Nairobi kulivyo kuzuri hakika mchina hatatoka
 
Back
Top Bottom