Hehehe!! Watanzania kituko, majibu ya kiajabu ajabu, kutokujua mambo ndio mtaji wa wanasiasa kwao

Hehehe!! Watanzania kituko, majibu ya kiajabu ajabu, kutokujua mambo ndio mtaji wa wanasiasa kwao

Sisi tumafanya final touches, tunaanza kuruka Mumbai muda si muda, waulize wanaishi Tanzania, tayari billboards za kumarket New route zimeanza, sisi hatutaki mkurupuko kama wenu ndio maana mambo yetu tunaweka umakini wa hali ya juu, so far KQ expecting to hit $300 million loss at the first quarter of this year, what a promising move 😂😂 at least not $1 billion
😀😀😀 final touches tangia September 2018???bure kabisa...Naskia drimulaina inasafirisha nyama 😀😀 Tanzagiza ni vituko tupu.
 
Back
Top Bottom