Hehehehe!! Elimu bana....Madagascar ni kisiwa katikati mwa Tanzania

Kutwa kuhangaika na inji yetu tamu zaidi ya asali tu,tena inaonekana hata ukilala unaiwaza tu na ndio maana umeipost alfajiri ya leo.

Hamia tu huku mzeebabaaaaaa inaonekana unaifuatilia sana zaidi hata ya wanainjii wenyewe wana yoifuatilia injii yao yenye mabomba yanayotiririsha maziwa.

Kamwe hiyo inji haiwezi kutetereka kwa vibwagizo mbuzi kama hivyo.

Tupo kwenye rait trak na very soon tutakuwa dona kantry tena fully kwenu,ngoja tukamilishe miradi yetu ya uhakika na tukianza kukusanya pesa hakuna wa kuturudisha back

Mungu ibariki inji ya Tanzaniaaa

Mungu wabariki wanainji wa Tanzania.

Hapa kazi tu.
 
Elimu bana...Inji ndio mnyama mgani?
 
Sijui hili la wapi...ona anavyorudia rudia neno 'wanainji'.
Hawataki elimu, kuna humo kwenye video anasema alimuachia mwalimu elimu.

Wa Kericho na mtanyooka tu humu haters
 
Unazingatia vitu vingine havina hata maana,hiyo ni challenge commedy show..sijui kama kenya inaweza kuwepo!
 
Unazingatia vitu vingine havina hata maana,hiyo ni challenge commedy show..sijui kama kenya inaweza kuwepo!

Ipo hata Kenya na watu hudunda pia, ila hutakuta Wakenya wanapwaya kwa maswali mepesi kiasi hiki.
 
waaah….Then lazima dar is a slum ni capital city ya zanzibar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…