<br />Wote wawili hakuna anayejipenda; kwa watu wanaojipenda huchaguana pasipo kupishana sana maumbile. Kwa mwonekano huo hawawezi kupita sehemu wakaambiwa kuwa wamependeza.
<br />Hivi mtu kama huyu analiaga kweli??
sijui ni mimi tu
naona kama hako kadada kanateseka hivi...lol
baba lote hilo limlalie kila siku lol
Wote wawili hakuna anayejipenda; kwa watu wanaojipenda huchaguana pasipo kupishana sana maumbile. Kwa mwonekano huo hawawezi kupita sehemu wakaambiwa kuwa wamependeza.