Height is nothing but a number

Height is nothing but a number

wote kuanzia kiunoni wanalingana hao,la general point of view.....kupendezambele za watu ni ziada tu
 
duh!this is too much.ingawa height iz nothing bt hawa hawana haki ya kuungwa mkon ktk hl,maana hawajatendea haki muunekano wao!hahahahaaaaa they are so funny to see!
Du yaani naimagine wakati wa shughuli inakuwaje!
 
Hapo hata kuongea inabidi wapige kelele maana hiyo distance. Lakini hamna jinsi hizi height za wacheza basket ball unadhani watapata wapi saizi zao? Kwa kifupi mwanaume hayuko normal.
 
sijui ni mimi tu
naona kama hako kadada kanateseka hivi...lol
baba lote hilo limlalie kila siku lol

Ni full maumivu...jamani wana harakati wa haki za kuchagua wapenz mpo? hii nayo ni haki ? mzigo wa Tani mia kwa barabara ya tani kumi ni uharibifu kwenda mbele.....!
 
Hiyo ndo bomba sana kwani hata kama jamaa akifumaniwa anaweza mkumbatia tu shori wake ikawa maficho tosha.
 
Mambo mengine bwana yanashangaza kweli, yale maeneo si inakuwa kama jamaa anaua
 
Back
Top Bottom