height(urefu) wangu umeshuka.

height(urefu) wangu umeshuka.

jong 255

Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
98
Reaction score
49
Wanajukwaa kama kichwa kinavyo jieleza nikwamba nikama mwaka mzima nimekuwa nikifanya kaz yakubeba vitu vizito yani ndoo za rangi 20 litres naweza beba ten pa dey na dumu za maji nabeba begani za 20 litre hasa najikuta nimepungua kimo daah [emoji25] msaada wenu ndugu zangu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umetumia kipimo gani kuona kuwa umepungua
 
Back
Top Bottom