jong 255
Member
- Jul 31, 2017
- 98
- 49
Wanajukwaa kama kichwa kinavyo jieleza nikwamba nikama mwaka mzima nimekuwa nikifanya kaz yakubeba vitu vizito yani ndoo za rangi 20 litres naweza beba ten pa dey na dumu za maji nabeba begani za 20 litre hasa najikuta nimepungua kimo daah [emoji25] msaada wenu ndugu zangu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app