Heka 2 zenye hati zinauzwa Kibada, mita 100 kutoka Barabara ya lami

Heka 2 zenye hati zinauzwa Kibada, mita 100 kutoka Barabara ya lami

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Wakuu, heshima kwenu!
Kuna heka 2 zenye hati (Title Deed) zinauzwa Kibada.
Zilipo hizo heka 2 ni meters kama 100 kutoka barabara ya lami na zimakaa center ambapo kuna umeme ila maji ni ya kudrill.
Zinafaa kwa makazi, uwekezaji (Maduka, Super Market, Shopping center n.k), Yard ya Malori, Parking Space, Shule n.k
Kutokana na kupanda kwa bei ya viwanja kibada, unaweza kupatumia kama asset ya kuuza baadae.
Bei ni sh. Milioni 100 kwa zote mbili. Mwenye kuhitaji karibu PM.
 
2 Heka
= 70m x 70m x 2
= 9800 Sqm

Tshs 100mil = 9,800Sqm
So 1sqm = Tshs 100mil ÷ 9800 Sqm
= Tshs 10,000/Sqm (approximately)

CONCLUSION; Bei ni poa sana kwa Kibada. Ila tu inahitaji mtaji mkubwa kuzichukua zote.

CAUTION ; Matumizi ya Ardhi eneo hilo yakoje? Why eneo halipo ndani ya mradi wa viwanja vilivyogaiwa na wizara?
 
Ni kweli bei ni poa kwa zaidi ya 60% kwa viwango vya maeneo ya Kibada, mmiliki ana shida inayohitaji kutatuliwa haraka kwa hiyo hataki mlolongo mrefu wa uuzaji.
La pili ni kuwa eneo haliko kwenye mradi. Title deed ipo na haina deni.
 
Back
Top Bottom