Heka 9 zinauzwa Kigamboni Mwongozo Kabla ya kufika kwenye majengo ya Nssf

Heka 9 zinauzwa Kigamboni Mwongozo Kabla ya kufika kwenye majengo ya Nssf

Gazillionaire

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2013
Posts
235
Reaction score
59
Za mchana wakuu?
Heka 9 zinauzwa Kigamboni Mwongozo Kabla ya kufika kwenye majengo ya Nssf.
Bei ya kila heka ni sh. Milioni 7 na unaweza kukatiwa kiasi unachohitaji kuanzia heka 1 na kuendelea.
Eneo liko km 4 kutoka barabara ya lami na linafikika kwa gari.
Panafaa kwa makazi, ufugaji, shule na umeme uko karibu.
Mwenye kuhitaji ani PM.
 
Back
Top Bottom