Heka heka ya clouds

Inasikitisha sana!!
 
Ni Muigizaji/Mcheza Film wa bongo movie enzi hizo alikua Nyota Ensemble, 44U na kina Bishanga,Monalisa,Waridi etc Sasa Ni Producer/Director na Pia Actor,moja ya Movie yake kali inaitwa swahiba alicheza na Rose Ndauka na JB.
kwa kifupi anaitwa SINGLE MTAMBALIKE! Alikuwa kwenye kamati teule ya mazishi ya kanumba!
 
Kazi zao huwa hazina taratibu? Ni kupigiana simu tu na kukutana popote pale bila kijari kama kuna ofisi?
 
Ni Muigizaji/Mcheza Film wa bongo movie enzi hizo alikua Nyota Ensemble, 44U na kina Bishanga,Monalisa,Waridi etc Sasa Ni Producer/Director na Pia Actor,moja ya Movie yake kali inaitwa swahiba alicheza na Rose Ndauka na JB.

sidhani kama jina la movie umepatia, nadhani ni MAHABUBA! Kama sijakosea!
 
sidhani kama jina la movie umepatia, nadhani ni MAHABUBA! Kama sijakosea!

Mkuu siwezi nikakubishia moja kwa moja inawezekana pia ana movie inaitwa MAHABUBA ila movie niliyoitaja SWAHIBA ipo nayo pia.
 
Inasikitisha kitu gani hapo? Mbona huyo Kanumba wenu alikuwa anambaka LuLu? hili ni jambo la kawaida sana kwa hawa Matapeli wanaojiita Wasanii.

Inasikitisha kitendo cha huyo jamaa aliyemuingilia both wayz huyo mdada bila makubaliano yake,kwa lulu nadhani ni makubaliano yao tu!! Ndio maana hatujawahi msikia lulu akienda kumshitaki late kanumba!
 
Inasikitisha kitu gani hapo? Mbona huyo Kanumba wenu alikuwa anambaka LuLu? hili ni jambo la kawaida sana kwa hawa Matapeli wanaojiita Wasanii.

How far r u sure kama alikwua anambaka, ni kwamba wao walikubaliana teheteehehehhe, hata mdada alohojiwa clouds alisema kuwa "me ungenambia tangu natoka huko kuwa nakuja kufanya nini sio nafika hapa unanilazimisha" kama wangekubaliana sio issue, issue ni kumlazimisha!
 
Wengine hamjaelewa aliyembaka sio rich jamani!!
 
Kanumba alianza kumbaka Lulu tangu akiwa na miaka 14. na hata siku ile aliyokufa huyo Kanumba wenu alikuwa anamlazimisha Mtoto Lulu ampe 0713......
 
unyama wa aina hii unasikitisha sana yaan
 
inasikitisha...!!! nasikia jamaa yupo kituoni! alafu shory alitumia akili! alikwenda moja kwa moja polisi .... kwa hiyo ushahidi wote upo wazi....!
 
kweli wasanii "kioo" cha jamii. Wakuu kioo kutumika hapa kina kazi mbili 1. ku reflect[samahani, kiswahili chake sina uhakika nacho] 2.kujiangalia. Wasanii wanatumia zaid hyo ya kwanza kwani wanaonesha kile kilichopo kwenye jamii yetu. Au sio?
 
am interested on this thing, wanao mfahamu watuambie, mi mwenyewe nimesikiliza hiyo story,
ameact muvie zifuatazo:- senior bachelor, chaguo langu, kijiji chetu/cha matumaini na nyingine, ana mwili.
ni nani?
 
hata me cjampata vzr make me co mfatiliaji wa movies. bt atajulikana tu through magazet ya udaku. wory out!
 
hiyo mimi nimeipenda na niliisikiliza

iwe fundisho kwa hivi vimalaya uchwara vinavyotafuta

umaarufu kupitia ujinga wanaouita USUPER STAR tamaa

zitawamaliza hawa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…