Heka heka ya clouds

Heka heka ya clouds

Anasema jamaa hakutumia kondom,tigo aliweka mafuta na mate!inaonekana jamaa hula vitoto maana ameonyesha uzoefu
 
Lulu hajabakwa bhana, alikubali mwenyewe
Kama Kanumba alimbaka, je capteni tusemeje? na hao wengine waliokuwa hawaandikwi kwenye magazeti? Basi Lulu atakuwa kabakwa na wengi.

Pole mdada uliyebakwa
 
Wakuu ni kwamba kuna dada mmoja ni msanii chipukizi alibakwa! issue ilikuwa hivi kwa mijibu wa huyo dada "alipigiwa simu kuwa Rich anataka wasanii ili wakafanye shouting, basi wakapanga appointment ya kuonana.. wakaonana maeneo ya Ilala alipofika hapo alifatwa na vijana wa2 waliojitambulisha kuwa wametumwa na yule aliyekuwa akiongea naye. basi wakamchukua wakampeleka kwa yule kaka alipofika yule mkaka akambadilikia na kuanza kumtaka kimapenzi ila yule dada akawa anakataa baada ya kuwa amekataa yule mkaka akamlazimisha mpaka akambaka nyuma na mbele..... Story ndo hiyo iliyokuwa heka heka SO WADA TUJIHADHARI NA URAFIKI WA JINSIA TOFAUTI. hasa kutembeleana mahali panapoweza kushawishi vitendo vya ngono

mmh inasikitisha sana, ilikuwa lini? na hatuwa gani amechukuliwa huyo mkaka?
 
Back
Top Bottom