Heka heka za watu wasiojulikana kwenye awamu ya sita

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Wasalaam wana JF.

Wakati tukitafakari mchango wa wananchi wenzetu wanoko waliosanifu na kutoa wazo shule la uanzishwaji wa tozo, tusisahau heka heka za watu wasiojulikana.

Katika awamu ya tano watu wasiojulikana walikua busy na mishe mishe anuai waki fanya hili na lile. Cha ajabu, katika awamu hii wako kimya na hakuna tukio ata moja mpaka sasa.

Hawa ma brothers na ma sisters wamepigwa na ubaridi wa nchi gani? Wenye kujua watujuze.

===
PIA SOMA
- Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana

~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
 
Tutawajuaje mkuu ? wakati hawajulikani
 
Wasalaam wana JF.

Wakati tukitafakari mchango wa wananchi wenzetu wanoko waliosanifu na kutoa wazo shule la uanzishwaji wa tozo, tusisahau heka heka za watu wasiojulikana.

Katika awamu ya tano watu wasiojulikana walikua busy na mishe mishe anuai waki fanya hili na lile. Cha ajabu, katika awamu hii wako kimya na hakuna tukio ata moja mpaka sasa.

Hawa ma brothers na ma sisters wamepigwa na ubaridi wa nchi gani? Wenye kujua watujuze.
Hawa ma brothers na ma sisters wamepigwa na ubaridi wa nchi gani? Wenye kujua watujuze.

KILA ZAMA NA KURASA ZAKE! Kinachobadishwa ni mvinyo chupa ni ileile
 
Back
Top Bottom