Hekaheka Uzeeni

Mzee wangu nimejifunza mengi sana kupitia hii simulizi yako. Upo very carefull katika kila jambo unalolifanya kweny maisha yako. Mf. Ulipowaza kula sahani moja na janeth, mi nikadhan labda ni katka harakati harakati za kuonesha uromantic kwa mtoto janeth, kumbe ni tahadhari ya endapo chakula kitakua na shida. Hahaha dah.
by the way, mim binafsi huko kivu kaskazini hata kuwe na deal ya 50millions, siwezi kwenda. Sauti za Baruti tu huwa zinanirusha roho, sasa hayo masasi je.
 
Utakua mtu wa kitengo nyeti umestaafu kama hujastaafu..
Ila ni ndefuuuu..
Sijui kwa sbb tushazoea itaendelea mpk siku 2 au 5 huko ndo muendelezo...
Nilikuwa nataka nijifunze nini wasomaji wa JF wanapenda

Nimegundua kuwa hawapendi stori ndefu

Pia nimegunduwa huwa wana enjoy eposode 1 kila wiki labda

Pia nadhani huwa wanapenda sogozi baina ya episode na episode

Season II tutaenda sawa.
 
Nilikuwa nataka nijifunze nini wasomaji wa JF wanapenda

Nimegundua kuwa hawapendi stori ndefu

Pia nimegunduwa huwa wana enjoy eposode 1 kila wiki labda

Pia nadhani huwa wanapenda sogozi baina ya episode na episode

Season II tutaenda sawa.
Sio sogozi peke yake na kuchati mambo yao binafsi pia katikati ya episodee...ww umewanyima hilo
 
Ulivyoandika ni kama huwa hawalipwi mshahara kila mwisho wa mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…