Hekaheka za boda boda daraja la kijazi

Hekaheka za boda boda daraja la kijazi

Mvinyo mpya

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
3,816
Reaction score
9,308
Wazee mida ya jioni (Jana), nilikua napita kwa mguu pale kijazi interchange aise vurugu za bodaboda sio mchezo. Yaani waendeshaji na abiria ni kama wamenunua tiketi ya kifo!

Hakuna rules yaani pikipiki kama mia Kila mtu anaenda upande wake taa zilivyoruhuaiwa! Huku watu wa miguu vivyo hivyo!

Ndugu zangu kuishi bongo ni sehemu inayohitaji uvumilivu na umakini.

Boda zingeishia tu pembeni mwa mji aise ule ni uchafu!
 
Tembea uyaone ni kauli nzuri sana...ukitembea duniani , interchange za Tanzania zilivo maarufu ndio utajua tupo nyuma sana! Kuna majiji yapo na interchange zaidi hata ya 100 zipo smart kwa kila kitu, taa , kamera , mifumo ya maji n.k na hazina majina sijui mfugare , sijui kijazi.
 
Watafute tu utaratibu mzuri.Tatizo nisiloliewa mimi,Dar ni mji mdogo sana na watu wanazidi kumiminika kila kukicha,kwanini wasikate mkoa wa Pwani kiasi iwe sehemu ya Dar maana ni mkoa jirani halafu kumejaa mapori tu,ukiuliza unaambiwa maeneo ya serikali...
 
Wafungue social services kubwa kubwa kama hospital, business centerers etc. Dar panatisha Sasa hivi
 
Wazee mida ya jioni (Jana), nilikua napita kwa mguu pale kijazi interchange aise vurugu za bodaboda sio mchezo. Yaani waendeshaji na abiria ni kama wamenunua tiketi ya kifo!

Hakuna rules yaani pikipiki kama mia Kila mtu anaenda upande wake taa zilivyoruhuaiwa! Huku watu wa miguu vivyo hivyo!

Ndugu zangu kuishi bongo ni sehemu inayohitaji uvumilivu na umakini.

Boda zingeishia tu pembeni mwa mji aise ule ni uchafu!
Boda wanafanya watakavyo barabarani, ila itatugharimu sana.
 
Tatizo awamu ya sita imesababisha haya yote.suluhisho la kukomesha bodaboda ni kuboresha usafiri wa umma.Mfano kama mabasi ya mwendokasi yangekuwa yanafanya kazi kwa ufanisi 100%(kuzingatia muda na yako ya kutosha) pamoja na treni za mjini na zenyewe zinafanya kazi kwa ufanisi laziima bodaboda wangekosa wateja na kuishia pembezoni bila kjlazimishwa.

Tatizo serikali imekazana kuua tu watanganyika ambao wanatoa ushauri mzuri namna ya kutumia rasilimali zetu vizuri kama walivyushauri hamphrey polepole ambaye alitekwa na hii serikali haramu na hatuitaki watanganyika.
 
Wazee mida ya jioni (Jana), nilikua napita kwa mguu pale kijazi interchange aise vurugu za bodaboda sio mchezo. Yaani waendeshaji na abiria ni kama wamenunua tiketi ya kifo!

Hakuna rules yaani pikipiki kama mia Kila mtu anaenda upande wake taa zilivyoruhuaiwa! Huku watu wa miguu vivyo hivyo!

Ndugu zangu kuishi bongo ni sehemu inayohitaji uvumilivu na umakini.

Boda zingeishia tu pembeni mwa mji aise ule ni uchafu!
Wanakwepa wale jamaa wanaokamata pale chini sumatra
 
Back
Top Bottom