Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Ni shidaMaafisa Usafirishaji Wa CCM
Wafungue social services kubwa kubwa kama hospital, business centerers etc. Dar panatisha Sasa hiviWatafute tu utaratibu mzuri.Tatizo nisiloliewa mimi,Dar ni mji mdogo sana na watu wanazidi kumiminika kila kukicha,kwanini wasikate mkoa wa Pwani kiasi iwe sehemu ya Dar maana ni mkoa jirani halafu kumejaa mapori tu,ukiuliza unaambiwa maeneo ya serikali...
Boda wanafanya watakavyo barabarani, ila itatugharimu sana.Wazee mida ya jioni (Jana), nilikua napita kwa mguu pale kijazi interchange aise vurugu za bodaboda sio mchezo. Yaani waendeshaji na abiria ni kama wamenunua tiketi ya kifo!
Hakuna rules yaani pikipiki kama mia Kila mtu anaenda upande wake taa zilivyoruhuaiwa! Huku watu wa miguu vivyo hivyo!
Ndugu zangu kuishi bongo ni sehemu inayohitaji uvumilivu na umakini.
Boda zingeishia tu pembeni mwa mji aise ule ni uchafu!
Wameachwa tuBoda wanafanya watakavyo barabarani, ila itatugharimu sana.
MnoKwa sasa huo usafiri ni hatari sana aisee.
Wanakwepa wale jamaa wanaokamata pale chini sumatraWazee mida ya jioni (Jana), nilikua napita kwa mguu pale kijazi interchange aise vurugu za bodaboda sio mchezo. Yaani waendeshaji na abiria ni kama wamenunua tiketi ya kifo!
Hakuna rules yaani pikipiki kama mia Kila mtu anaenda upande wake taa zilivyoruhuaiwa! Huku watu wa miguu vivyo hivyo!
Ndugu zangu kuishi bongo ni sehemu inayohitaji uvumilivu na umakini.
Boda zingeishia tu pembeni mwa mji aise ule ni uchafu!
Hakuna Wana Chadema ambao ni maafisa usafirishaji?Maafisa Usafirishaji Wa CCM