Hafai kuwa Afisa habari, namna anavyo uongelea mpira wa miguu ana fit katika uhamasishaji, awe Afisa uhamasishaji maana vingi anavyo ongea havijawahi kuhusiana na soka ni maswala ya hamasa.
Namna anavyo ongea nikama muhamasishaji wa vikundi vya sanaa za maonyesho.